@richmshonaji: usije sema sijakufundisha🤣🤣🤣🤣 wtsp darasa o765127335

RICH MSHONAJI
RICH MSHONAJI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 19:00:05 GMT
162892
6396
231
539

Music

Download

Comments

mwananchi123
mwananchi :
katika siku zote nilizokufatilia leo ndio nimekuelewa. umeelekeza vizuri zaidi ya siku zote🥰
2026-09-16 20:35:13
31
mom658120
Mom🌹💐 :
Leo mwalimu umelalia ubavu wa kulia🔥🔥 nimekupata balaaa👌👌👌
2026-09-17 03:29:49
12
user7735716005869
@fatmamgomi :
asante sana kaka yetu
2026-09-17 08:21:11
2
m1400857
m :
tumia vipimo fundi.tutaelewa zaidi
2026-09-18 08:00:53
1
christina.wilisoni
christina wilison :
.naomba uniunge kwenye gruop
2026-10-08 03:23:40
2
irenengalama
Irene :
asante kwakufundisha vzr
2026-11-21 03:32:49
0
dimobuilders09
DiMo Building Materials 🤎 :
Kwann uunge chini s italeta show mby au sijaelewa
2026-09-17 04:46:56
1
aniah2555
Aniah+255 :
Mwalimu anasema lete mkasi,wanafunzi tunatoa macho[Tears of joy]
2026-09-21 16:07:52
1
joyce.kaziulaya5
Joyce Kaziulaya :
nimeluelewa sana Sasa tufundishe shati zakiume za vitenge
2026-09-17 15:23:18
1
farajisaidi8
ratwiifa ally :
ntaka niunge
2026-11-03 12:21:54
0
hellenlaizer0
precious :
ww Mwl mzuri, nimekuelewa vizuri
2026-09-21 09:56:30
1
user968696681684
janie :
ahsatee sana kaka huna choyo nimejuwa mishono mingi kupitia ww
2026-09-18 10:49:23
1
liuxie255
It's Mary✌️❣️ :
tatizo langu hesabuu ndo zinznishindaaa😂
2026-09-17 09:28:40
1
marry.paul545
Marry Paul :
nimekuelew fund naitaj unifundishe zaid
2026-09-26 15:02:21
1
pendo1229
kwandu :
uko vzr
2026-11-09 17:27:04
0
user813635457906
mwanamisi :
endelea vutufundisha kaka
2026-09-22 20:20:26
1
rehemaalberto6
Rehema Alberto :
Asante nimeelewa
2026-09-20 22:47:25
1
bushuramohamedi
bushuramohammed33 :
pamoj
2026-09-16 19:04:28
0
user9168346942616
bright :
endelea kaka nafurahia vpnd vyak kwa kweli na naelew vizur
2026-11-01 17:17:14
0
mama.muu54
mama muu :
fundi naomba uniunge kwenye group
2026-09-29 20:53:05
1
lamla.amanzi
Lamla Amanzi :
uko vizur nakumbka nikiwa chuo jamn milikua mgumnkuelewa baaala lakin kwakoo aaaah natoboa
2026-11-13 15:35:17
0
muzna.shafii
muzna shafii :
niunge kwenye group kaka angu please 🙏🙏🙏
2026-11-15 22:09:34
0
milkathomas685
Milka Thomas :
Asante, namba niuge kwenye group
2026-11-01 11:42:27
0
asifiwe.michael6
Asifiwe Michael :
upo vizurii endelea kutufundisha
2026-11-02 11:49:12
0
doricas615
doricas :
p1
2026-09-16 19:05:40
0
To see more videos from user @richmshonaji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About