@q.mediatz: Kwenye vikao vya A-List ikifika zamu yako wewe jiandae kisaikolojia tu maana Tazama namna @ireneuwoya8 akijitetea hapo mbele ya wenzake 🎥 Maisha Magic Bongo #QmediaTz

Q.mediaTz
Q.mediaTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 20:00:23 GMT
161523
9178
186
154

Music

Download

Comments

polyne105
polyne 💥 :
kama kajala akisema nikweli😂😂
2026-09-16 23:24:27
226
anithalaurean
Anie92 :
mpaka Kajala ameongea ujue ni kweli unae
2026-09-17 10:58:31
64
dey.d87
dey d :
na kajala Katia neno kweliii🥰🥰
2026-09-17 05:52:34
55
ney13772
ney🌸❤️ :
yupo bn ss tunamwamini kajala
2026-09-17 06:45:28
64
grace.karata0
Grace Karata :
Kajala akishasema ujue kweli
2026-09-17 04:25:09
84
naah3936
naah😉😉 :
Aunt kwa kujiamulia
2026-09-17 03:22:22
58
qutemummie
Qutemummie :
tunaamini yupo sababu kajala kasema unaye
2026-09-17 06:28:24
24
user2329166009695
Mwanaiddy :
Adi kajala kaongea bc yupo
2026-09-17 06:09:59
28
user9767081136816
annah @k!cc❤️ :
midhali kajala katia neno basiii UNAE[Tears of joy]
2026-09-17 18:10:01
0
happy77217
happy? :
kajala kashasema unaeee
2026-09-17 00:20:26
30
user7613256782737
it's kaylee official🥀💦 :
mpeni ruhusa Aunt🤣🤣
2026-09-17 04:40:35
12
faridanasibu105
sabramamy :
mpaka K kasema kweli yupo🤣🤣
2026-09-17 05:59:49
13
user2586968137630
jojo💕 cut£ :
mimi ni kajala unae🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-17 05:15:38
8
agness.mwambogo
Agness mwambogo :
unae kajala kasema ni kwel
2026-09-17 08:29:41
7
faizaaxic98
swalhita_ :
Aunt tunamuamini Kwahiyo unaee 😅
2026-09-17 07:32:28
8
ms_geey1
🕊️ms_geey💦 :
unaeeeeeeeeeeeeee😂😂😂😂
2026-09-17 06:02:49
4
judithmollel
judithmollel0 :
Aunt mpost mwayaaaa 😂😂😂
2026-09-17 10:31:21
1
user77573395411282
DADAA :
Wueeeh Irene uwoya ni moto wa kuotea mbali,a very confident n no nonsence lady...Ulisema dada
2026-09-17 03:57:25
4
kulwa_kiwesa
kulw@💕💕 :
kwakua kajala kasema nikwel unae
2026-09-17 11:43:29
9
mkabemezi039
Jovina George :
hana jmn MBN me sina😳
2026-09-17 09:23:09
5
shanely7008
shanely7008 :
aunt tupostie mom
2026-09-16 21:28:25
5
user2507103810095
mama j :
kajala kasema nani hakuna kupinga
2026-09-17 06:03:44
4
siydra0
siydra :
haya mnagombana kweny screen yangu Aya kwenu wote
2026-09-17 10:14:25
3
aminamaulid762
Ameenah :
Hii chai ni ya lini😂😂
2026-09-17 11:08:55
1
user77573395411282
DADAA :
Kama kajala amekubali anaye...aaah hapo ni kweli huwa namwaminia kajala
2026-09-17 12:52:20
1
To see more videos from user @q.mediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About