mm hadi msiba wa mamaangu et walisema sina huzuni na mamaangu jamani
hii sheria nan kaileta ukifiwa usile duuuh m nilikua sijui nilifuta machozi nikawa nakula
2026-09-29 08:02:05
117
user4027420592565 :
post imenikuta nakula [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 14:34:02
1
wardah🥰😍 :
me nikiwa na hasira najichimbia mahali kama hivyo
2026-09-29 09:57:42
79
Rosemary mwita :
kuna coment hap imefany nichekee
2026-09-29 18:47:39
0
Anethy _cute :
Mungu akinipa kama wew nafuta nambr zote kwenye cm yangu
2026-09-29 11:41:44
39
❤️Bellah❤️ :
Mbn hauna mapenzi ww lkn😁
2026-09-29 10:57:29
16
RenePrecious :
mm nikishiba yan nasahau ata kama nipo kweny mahusiano 😂😂😂nasahau hata majukum yangu😂😂😂
2026-09-29 17:01:36
7
D@- N@@H 🦋 :
Kuna mimi sasa nakula halafu nikishiba najiangalia kwenye kioo naanza kucheka 🤣🤣🤣
2026-09-29 17:14:11
11
Ketty🌹💞 :
Mimi nikiwa na hasira ndio nakula sana
2026-09-29 10:44:32
15
Nisha love :
Kama huyu mungu jmn nitashukuru
2026-09-29 09:46:17
10
Hottest girl :
Wallahi 😁😁
2026-09-29 05:58:11
21
Cannalillie001 :
Msinikumbushee tulikaliana cku nzima kimya nikamtafuta nikamwambia nimemic nashindwa had kula akaja kunisuprise akanikuta nakula tena chips kuku aibuu😂😂😂😂💔 akawa anachekaa kumbe nimemtafuta nashida zang😂
2026-09-29 09:48:31
25
not me😊! :
tougether tunawakilishaa😂
2026-09-29 16:32:35
2
Queen 👸 teeh 👸 :
😂😂😂 kwa kweli
2026-09-29 09:20:07
8
Asante Sary :
kwa kwer broh
2026-09-26 08:59:27
16
ashurey🥰 :
nimependa nyusi Zak mashaallah
2026-09-28 17:58:45
13
Hansy :
HABARI KWA WAZAZI ,
SISI MADEREVA WA SCHOOL BUS TUNAOMBA MPUNGUZE MAJI KWENYE JUIS ZA WATOTO
2026-09-29 16:36:39
6
Belounasrou Houdhoun :
hahahahaha [Big LOL] hata sijuwi nacheka nini [Tears of joy]
2026-09-17 12:56:30
6
Miss Sophie💞 :
Wengine tukiwa kwenye stress ndio njaa inakuwa kali 🤣🤣😁
2026-09-29 18:37:01
3
Dada Poshy😂 :
We jau Sana bhn😂😂🙌
2026-09-29 18:23:47
2
To see more videos from user @lulysparks, please go to the Tikwm
homepage.