naomb nimpe biashara yanguu aizungushe naona kuzungusha anawezaaa😂🤣
2026-09-17 05:50:04
17
mwaka hamiss :
anaker wallhah
2026-09-17 19:31:04
6
king shamte :
kumbuka ipo siku utakua ww 2 na mungu wako
2026-09-17 09:49:47
5
Rukaiya Sheikhan :
naumia mana mm mwanamke ila sijuw kama hivo🤣🤣🤣🤣
2026-09-17 10:45:18
4
SHARIFA♓️🫧 :
Maskini tuzungatiwe tunavipaji vingi na vyaajabu
2026-09-17 06:23:01
2
Meddy Mwaex :
Tupo pungufu jamani
2026-09-18 04:14:43
1
WaSabah96 :
Wapo mapacha hao kuna KAMA wa Day na KAMA wa Night
2026-09-17 08:11:17
2
Shamimu Hassan :
jamani si kwa uno hilo
2026-09-17 08:54:23
1
momy 👩🍼kipipi :
yan mume wangu ww unajua kunidhalilisha jmnii daah
2026-09-17 11:49:39
1
Lukindo :
ukifanya vituvngine watakiwa ufikiriye kuna mungu ucfanye kwaku nufaisha binadamu ambao ukifarki hawish kuku sema maov yako mungu akusamehe fanya ure.
2026-09-18 03:09:44
1
Hadija Abduli :
n vityu vyngu kbc hy nampnda cn mwanaum km huy ambae ana anchoogopa
2026-09-17 12:44:40
1
TOTO LA PWANI :
Hyu naye kazidi sasa
2026-09-17 15:49:03
1
🌳____Juma Jr✅ :
WAKALI WAO DAY🔥🔥🙌🏽
2026-09-17 21:14:59
1
saada alkaaf :
tukumbukeni ahadi za ALLAH bkila jambo lina malio jamani siku ya mwisho io wala haina shakka na malio yao.hebu jamani tujielewe tuziwache hizi sifa mbaaya tujitupe kwa muumba wetu jamani
2026-09-17 21:11:59
1
From your Contact :
Nilikuwa naomba aje anizungushie maisha yangu 😥
2026-09-17 10:34:50
1
mbau :
si ndio vile wanasema tusomeni eeeh
2026-09-17 03:39:00
4
Rose 🌹 :
hata haya pendezi jamany
2026-09-18 20:26:16
0
BABA MALCOM✌️ :
watajamba sna
2026-09-18 22:21:43
0
M Media :
hilo uno limechanganyikiwa
2026-09-18 22:00:12
0
Sadi Badubah :
mama gwajima haja muona
2026-09-19 00:28:42
0
@MJ :
😂😅
2026-09-17 05:02:55
0
To see more videos from user @shafy.masauty, please go to the Tikwm
homepage.