@muslim02130: Hadithi mashuhuri ya Mtume Muhammad (S.A.W)"Mwislamu ni ndugu ya Mwislamu mwenzake; hamdhulumui wala hamtupi (kwa maadui). Na yeyote anayekuwa katika kumsaidia ndugu yake shida zake, Mwenyezi Mungu huwa katika kumsaidia shida zake. Na yeyote anayemwondolea Mwislamu dhiki miongoni mwa dhiki za dunia, Mwenyezi Mungu atamwondolea dhiki miongoni mwa dhiki za Siku ya Qiyama. Na yeyote anayemsitiri Mwislamu (aibu au siri zake), Mwenyezi Mungu atamsitiri Siku ya Qiyama." (Hadithi hii imepokelewa na Imam Bukhari na Muslim). @muslimshekh4 @Muslims 👳 #tiktokkenya #islamic_video #muslsm02130 #tiktoktanzania #tiktikviwes