huyo ndo alikuwa mtu wangu baada ya kupata kazi,alivyokuwa na uhakika wa maisha alkw anantenda matendo ya uchungu the anawish ninyamaze😀awee niliamua kuachana nae nimuache na pesa zake japokuwa inauma mno mtu miaka 6 ya mahusiano Leo anajipata anakuletea dharau🙌🙌🙌🙌
2026-09-18 10:18:20
1
🦂CH🅰️🅱️🅱️Y❤️♏️ :
Fact broh😫🙌🙌🫡
2026-09-17 04:11:09
0
ummy2434 :
Huyu n wng kbs lkn Haamin maamuz niliyochukua niliondoka bila yy kutengeneza na Bado Haamin