@justicerevoco:

Justice Revoco
Justice Revoco
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 04:33:57 GMT
23999
1148
52
115

Music

Download

Comments

user9026705325761
user9026705325761 :
kweli pastor[Red heart][Red heart]
2026-09-22 06:41:36
1
misslee632
MissOli👩‍🦰💞 :
WASABATO SASAIV KANISA NI KAMA LA MTU BINAFSI YAAN WANATAKA UUBIRI WANACHOKITAKA WAO SIYO ANACHOKITAKA MUNGU jaman tusali sanaaa kuwa msabato siyo UTAKATIFU imani yako juu ya Mwenyezi Mungu ndiyo wokovu wako
2026-09-18 05:27:34
18
rapunzel43801
Rapunzel :
Zamani mambo kama haya niliona wachunganji wanaweka mic chinii na kuzungumza kwa sauti ya chini tangaza neno kwa nguvu zote ila kuonyana tuitane sisi kwa sisi mikwaruzano yetu isitokee nje ya nyumba yetu😌😌 NAWASILISHA
2026-09-19 16:19:48
10
user430118019045
chii :
lkn pia haya siyo mahubiri yakutoka kwa mchungaji ,pia kama neno la Mungu . Hakuna vikanisa vya pembeni pembeni. Mogomeni hope majua hiyo siyo sawa yakugeuza mimbari kuwa personal scores
2026-09-18 06:27:53
9
stevenmbwambo55
steve trucker TZ :
wapo viongozi ngazi za juu wanaona kanisa ni lao
2026-09-18 02:53:15
7
athanaskimaro115
Athanas Kimaro :
Amina viongozi wameasi 🥲🥲 Ee Mungu tusaidie.
2026-09-18 02:00:09
4
e.giboma
E. Giboma 🛠 :
kanisa ni mali ya Mungu. hao wasiotaka ukweli ni watu gani??
2026-09-18 03:59:59
5
sam.kyando0
sam kyando :
Hongera kwa kufunuo maovu yalimo makanisani mwenu!
2026-09-18 10:40:42
5
madaraka010
Madaraka :
mnasema Pastor yupo vizuri. sijaelewa kapatia nini na hao naowasemea wamekosea nini. post haitoi majibu ila inaibua maswali. aliyepost hana nia njema.
2026-09-22 12:30:17
0
injimbege
injimbege#5 :
mwasomola🔥🔥
2026-09-18 12:39:07
3
user50467476232790
0744898374 :
amen mtumishi wa bwana?
2026-09-22 07:30:13
1
mwita.wa.tarime
Mwita wa Tarime 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Huyu ndio mchungaji tunayemtaka,anasema UKWELI
2026-09-18 06:28:50
4
berniceatieno0
Bernice🌹 :
yaani sisi tulioumbwa kuwa wakweli tunawakati mgumu sana kwenye hii Dunia‼️ila nifurahaa sana kwasababu msema kweli ni mapenzi wa MUNGU ‼️
2026-09-18 04:41:57
4
machenjamaduhu
MACHENJA MADUHU :
Sikuhizi hata usiposimama Mibarani unaweza ukahubiri hata ticktock kwahiyo Achana nao Pr kama unaukweli useme tu utawafikia
2026-09-19 11:46:26
3
mpondaalbart
mponda💪💪 :
Huyu mchungaji ni mzuri huwa tu napata changamoto kujiuliza, unasemekana ni ukwel anaousema ni ameanza kusema baada ya kutochaguliwa na kustaafu, maana alikuwa kiongozi mkubwa sana kwenye ngazi ya maamuzi tena akiwa mwenyekiti lakini kuhusu wizi ndani ya kanisa na uovu wa viongozi anausema hadharani kwa nguvu zote baada ya kuondoka kwa nafasi ile ya juu, sina maana anachokisema ni uongo au ukweli hayo mm sijui
2026-09-22 14:41:42
1
oward.jeremiah.ngu
OWARD JEREMIAH NGUMBILO :
Ukimjua MUNGU na Kanisa lake hutasumbuka na viongozi walioasi wewe simama songa mbele kazi ya MUNGU ni kubwa,ukifukuzwa hapa nenda pale mpaka Yesu arudi,injili ya milele lazima ihubiriwe Ufunuo 14:6-12
2026-09-18 01:51:02
5
uriah_msilu
Bin Sober :
Nafikir hii sio picha nzuri kabisa kwa kanisa
2026-09-18 06:36:37
3
mwita.wa.tarime
Mwita wa Tarime 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Huyu mzee namwlelewa sana
2026-09-18 06:28:13
3
aden.vales
Aden Vales 🌊 :
Uncle Mike mkononi🤣🤣🤣🤣🙌🙌
2026-09-19 08:11:35
1
janemakoyemakoye
janemakoyemakoye :
uko vzr Mzee wangu
2026-09-22 10:01:12
1
enockmwaifweya
enockmwaifweya :
noma sana
2026-09-19 15:28:34
1
oneafrica30
Kijana wa vitendo/Tanzania ♥️ :
Akina nani hao?
2026-09-20 15:40:32
1
bible_coach_tz
Bible talk Official :
Ni ukweli
2026-09-18 09:26:02
2
bahatiigembe
Ezekiel mark igembe Tz :
Pastor huyu kwel MUNGU aendelee kukutunza
2026-09-18 11:43:01
3
mariam.adam93
Mariam Adam :
amen
2026-09-18 00:30:21
2
To see more videos from user @justicerevoco, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About