haya ndio mambo ya Genz stake what you can afford to loss
2026-09-18 08:03:49
1
michael.nikolaus0 :
Efootball mpooo
2026-09-18 05:36:45
2
Simba :
akuna kukata tamaa kwenye life mzee hata ubaki dakika moja sisi tunaamin goli mbili zipo
2026-09-18 04:47:54
13
𝗚𝗜𝗩𝗘𝗡 :
kumbe familia kabisa plate namba F
2026-09-17 22:44:56
6
Twin Turbo :
Mtumishi naye familia 😁
2026-09-18 05:12:27
3
romyswaxy :
kubet imani
2026-09-17 17:22:31
13
Achakulia :
Kubeti Imani
2026-09-17 18:15:51
6
Kivunja Jr_Official :
Tunaobeti tuna Imani kubwa na tunachokifanya. kuzidi wanao utafuta ufalume wa MUNGU.
juzi cash out imekuja laki 5. lakini nimegoma kukeshi. mpaka umechanika. lakini bado Nina imani
2026-09-18 09:42:34
4
𝑾𝑨𝑵𝒀𝑨𝑩𝑰 𝑻𝑨𝑳𝑲𝑺 :
huyu familia kabisa
2026-09-18 05:23:40
5
Jfour📌 :
kila mtu abaki na imani yake
2026-09-18 11:48:46
1
kenMJ💖 :
good advice 💯💯
2026-09-17 16:39:36
3
mussa@1 :
hongera kaka
2026-09-18 12:53:31
1
bonny mkina🖐️ :
ET HALELUYA😁
2026-09-18 08:29:47
1
felixjunior720 :
Mwanetu kabsa wewe
2026-09-18 05:59:35
1
ShyGiven :
wa nje, wa nje, wa ndani wa ndani.
Hujaanza usianze, na umeanza usiache.
imani yetu ngumu hata joseph kibwetele haoni ndani😂
2026-09-18 12:48:13
1
MUHANGARY :
hizi ndo post ninazoozitafutaga ubarikiwe kiongozi
2026-09-18 10:01:26
1
SMART CLEANERS COMPANY LIMITED :
minakumbuka ulishawahi kunipa mkeka mtumishi wa ods5 mkuu
2026-09-18 07:12:06
1
michael fortunatus :
akili nyingi sana ✍️✍️
2026-09-17 17:17:36
4
#𝐁𝐨𝐲 𝐀𝐥𝐨𝐧𝐞 🔞🫀 :
Kumbe na watumishi wanabet?
2026-09-18 09:42:58
2
@azine :
brother
2026-09-17 15:46:20
3
eliasgembe361 :
nilijua niko mwenyewe kumbe tuko wote
2026-09-18 08:52:36
1
Benny kashilimu :
mtumishi kanisa lako liko wapi linanifaa sana unasema ukweli
2026-09-18 08:48:02
1
To see more videos from user @abisainzali, please go to the Tikwm
homepage.