@hekimakimola: Karibu Tukusaidie 1. Kusajili Kampuni na uendeshaji wake kwa ujumla ie.Kodi 2. Kusajili Jina la Biashara,Leseni za Biashara, trademark 3. Jinsi ya Kuanzisha na Kukuza Biashara 4. Jinsi ya kuagiza bidhaa mbali mbali kutoka nje 5. Mafunzo ya Usimamizi wa Kampuni na kuendesha kampuni kama system 6. Elimu ya kutumia kipaji na mitandao ya kijamii kutengeneza kipato 7. Jinsi ya kugundua kipaji chako 8. Kukuagizia bidhaa mbali mbali kutoka China🇨🇳, Dubai🇦🇪, Uturuki🇹🇷, USA🇺🇸 & India🇮🇳 Kuja Tanzania🇹🇿 9. Muongozo wa maandalizi ya muhimu kabla ya Kwenda China ✅️ GHARAMA ZETU ZA USAJILI 1. Jina la biashara 60,000/= gharama zote zimekuwa included 2. Kampuni 400,000/= ,hapa control no ya kulipia Ada ya usajili utalipia we mteja na ina range kuanzia [Tsh 167,200 - Tsh 512,200/=] ✅️ Hivyo basi ukiwa na kuanzia Tsh 567,200 - Tsh 912,200/= unaweza kumiliki kampuni yako ✅️ UKISAJILI NASI KAMPUNI UTAPATA HIZI SERVICE FREE 1. Ushauri kuhusu namna ya uendeshaji wa kampuni kwa FAIDA na jinsi ya kukuza kampuni yako 2. Ushauri kuhusu maswala ya KODI ili uweze kuepuka faini mbalimbali zinazoweza kujitokeza wakati wa uendeshaji wa Kampuni yako Mawasiliano Piga/WhatsApp: 0763800939. #businesssystems #businesssystem #businesssystemspecialist

hekimakimola
hekimakimola
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 05:19:10 GMT
5521
213
5
37

Music

Download

Comments

habworksolution
Worksolutions LTD :
mwalimu mkuuu
2026-09-17 06:34:56
2
cynthia_mts
Cynthia mts :
Asante kk
2026-09-17 11:33:48
1
nuranmusakimaro
Nuran musa kimaro :
good
2026-09-17 14:54:13
0
max600206
max :
2026-09-17 14:51:25
0
michaelkimola_
MICHAEL KIMOLA :
🤝🤝🤝
2026-09-17 10:14:18
0
To see more videos from user @hekimakimola, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About