sijalelewa na baba ila wallah mungu wangu ananiona sijawahi kwenda club hata siku mojaa yule mwanamke na nilikua nikivaa suruali au nguo fupi atanisema mpka basi mungu amrehemu mama angu wallah
2026-09-17 11:18:54
11
STRO🫀 :
Fact bro 😎
2026-09-17 11:07:13
1
mwashoq :
nikweli kabisa🙌🏾
2026-09-17 05:43:24
9
ednadaffa :
Yule mzee alitunyoosha .Hata sasa naishi maisha yangu lkn Kuna vitu siwezi fanya.Mungu Aniwekee yule mzee Daffa.
2026-09-17 11:55:33
3
lisa688110 :
hovyooo
2026-09-17 12:39:01
0
neyG :
em pisha bhana mbona tunawaona walio lelewa na baba wanatabia mbaya na baba yake anajua sema tyu ni malezi pamoja na mtoto mwenyewe
2026-09-17 12:05:40
4
EmeliusMseya :
Fact
2026-09-17 08:16:09
3
vailethvalentine3 :
Eeeh sio wote bhna,Wengine baba zetu wametangulia mbele za haki mapema,,lakini shukuran ziende kwa Mama zetu waalijitaid kuplay both parts,,na tuna heshima Ile ile tena kuwazd wenye wazaz wawil
2026-09-17 13:02:27
0
Mwaijah Hassan :
2026-09-17 12:00:42
1
SIX6 :
tulio muelew vizuli huy jamaa tu like
2026-09-17 09:37:14
2
Shamimu Djamidu :
siyo kweli kaka
2026-09-17 12:15:58
1
myliw :
kweli kbs
2026-09-17 11:23:48
1
margemwaweza :
Nakupenda babaangu🥰🥰
2026-09-17 11:43:07
1
Fakisouma :
fact kabisa
2026-09-17 11:20:29
1
christinamhamba3 :
sema baba anejitambua kuwa nibaba, kunababa anarudi saa 11 asubuhi je nwanae arudi saangap
2026-09-17 12:10:16
1
Habby :
Nilikua nakatazwa kuvaa suruali na nilikua navaa baba hajanifuma mpaka anakufa mungu amrehemu 😞
2026-09-17 10:52:36
1
Mwaijah Hassan :
daaah me nilikuwa nikitoka disko za shule alaf nikachelewa nikimskia baba anakuja najifanya naswalii@😞😞😞
2026-09-17 12:00:15
1
nijomtunduma 🍀💨✌🏽DPY🏆🍁✅🏡 :
✌✌Kweli
2026-09-17 09:45:04
1
Bella_🦋🍒 :
ko sisi tulio lelewa na mama Mixsa baba ndaniake🤣🤣🤣🤣
2026-09-17 10:34:41
1
Raya :
mhh mim mpaka leo kwenda kwa jirai au kukaa njee ya nyumb bilasababu nahisi Kam baba. ata nipg kumbe sikai nae hata ila mzee 🫡
2026-09-17 12:45:48
0
Lucky girl aura :
Mimi naona ni baraka za Mwenyezi Mungu kina hakina sisi tumejilea wenyewe tumeishi lini dini, tumesoma kariakoo marafiki masese na sinza lakini tabia nitofauti na za mjini kwenye ndoa mwana 14. Bado mpambanaji sio rahisi ni Mungu tu.
2026-09-17 12:47:57
0
Likoteho daughter :
kweli kabisa Kaka
2026-09-17 12:53:05
0
Raych :
Kbsa aniiii🙌🏾
2026-09-17 12:47:29
0
tyfer :
yaaan mitandao inaharibu sana mindset za watu jmn
2026-09-17 12:52:07
0
To see more videos from user @fikrazetu, please go to the Tikwm
homepage.