@wapeglobal: Kuna nyimbo unasikiliza kwa masikio… lakini kuna nyimbo unasikiliza kwa moyo. 😔❤️ Love Story ya Indila ni moja ya nyimbo hizo. Tangu inapoanza, kuna hisia fulani ya huzuni, upendo na kutamani kitu ambacho huenda hakijawahi kuwa rahisi kukipata. Indila aliifanya nyimbo hii isisikike kama simulizi la mapenzi ya kawaida. Kuna upande wa upendo unaoumiza, kusubiri, kutamani na kumbukumbu ambazo ni vigumu kuziacha. Na ndio maana hata kama hujui Kifaransa vizuri, unaweza kuisikiliza na bado ukahisi kile wimbo unachojaribu kusema. 😭 🎶 Kuna nyimbo zinapita tu… Lakini kuna nyimbo zikianza, zinakurudisha kwenye kipindi fulani cha maisha yako. Na Love Story ni mojawapo. 🔥 Ulikuwa wapi mara ya kwanza uliposikia wimbo huu? Na ulikuwa na nani? 📍 @wapeglobal #wapeglobal
Navipi kuhusu nyimbo ya lil uzi vert #What they saying. mbona beat linapita mule mule
2026-10-01 21:32:17
1
kaginajr20 :
“Ukiusikiliza ukiwa na mtu unayempenda, unaelewa kila neno bila hata kujua Kifaransa. 😭❤️”
....................................
“When you listen to it with someone you love, you understand every word without even knowing French. 😭❤️”