@mkulimasolution: BEI MPYA ZA CHAFF CUTTER 1 Ton - 1,350,000 umeme/petrol 2.5 Ton - 1,800,000 umeme/petrol 3,5 Ton - 2,200,000 umeme/petrol 5,5 Ton - 2,900,000 Diesel 5,5 Ton - 2,600,000 umeme +255 658 375 861 TUNAUZA CHAFF CUTTER MASHINE ZA KUKATIA MAJANI YA MIFUGO | MASHINE ZA MALISHO | MASHINE ZA KULISHA MIFUGO 📞 +255 658 375 861 📲 @mkulimasolution @mkulima_solution 🕖 Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) 📍 Tegeta Wazo Hill – Dar es Salaam — CHAFF CUTTER ni mashine maalumu kwa ajili ya kukata majani, mabua, nyasi, pumba na malisho mengine ya mifugo kwa vipande vidogo ili kurahisisha ulaji na kuongeza ufanisi wa lishe kwa mifugo. 🔹 Inafaa kwa: Wafugaji wa ng’ombe, mbuzi, kondoo, na nguruwe Mashamba makubwa ya ufugaji Vikundi vya wafugaji na wakulima — ✅ Faida za kutumia Chaff Cutter: Huongeza ufanisi wa ulaji wa chakula kwa mifugo Hupunguza upotevu wa malisho Huharakisha kazi kwa muda mfupi Inaokoa nguvu kazi na muda Inaongeza uzalishaji wa maziwa na nyama — MKULIMA SOLUTION tunauza chaff cutter za ukubwa tofauti tofauti – ndogo, za kati, na kubwa – kulingana na mahitaji yako. — 📍 Tembelea ofisi zetu au wasiliana nasi kwa: Call / WhatsApp: +255 658 375 861 — #chaffcutter #mashinzakulishamifugo #vifaavyaufugaji #ufugaji #malisho MKULIMA SOLUTION | DAR ES SALAAM

MKULIMA SOLUTION
MKULIMA SOLUTION
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 07:43:17 GMT
159
2
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mkulimasolution, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About