ndio maana siku hizi niliacha kununua magazeti nilikua nanunua kila siku lakini nilipo ona huu ujinga wa kibaguzi nimeanzisha kampeni ya kuwahamasisha mashabiki wa simba tusinunue magazeti yao wanunue wa yanga tu
2026-09-17 15:06:48
0
Kamili Paje :
Magazeti yenyewe hatusomi
2026-09-17 14:02:53
0
Kelvin Ngoda :
😂😂😂😂😂 maelekezo
2026-09-17 13:57:04
0
Sir ng'ure :
kikubwa tumeshinda
2026-09-17 14:58:47
0
Godwin Kivuyo :
tushawazoea hawa waandishi
2026-09-17 10:05:59
0
To see more videos from user @kabeo821, please go to the Tikwm
homepage.