naongea kama shallo milionea, ooh! my god, 😆😆😆 Dr sulle umebug men
2026-09-17 14:20:36
2
Prophet Rommy Mjelwa :
MSIZITENGE, MPENI SUPPORT KUBWA, MIMI KAMA MCHUNGAJI NAMBARIKI HAKUNA WAKUMLAANI
2026-09-17 13:04:30
73
Szczesny :
hii dini ina matatizo sana
2026-09-17 16:34:27
36
♉️ Taurus :
Huyu angekua malaika tungekua tumeisha duniani
2026-09-17 17:03:55
47
Juliana Benezeth :
MKAMILIFU NI MUNGU PEKE EE
2026-09-17 13:30:32
3
⚡ :
Usihukumu, glory be to God
2026-09-17 14:03:43
0
Sceb23 :
Wewe ndio mtoa hukumu mwanetu?
au mtupie Majini
2026-09-17 18:23:31
8
CHARLZ :
utajuwa mwenyew sisi tunasubir ngoma 2
2026-09-17 17:53:46
13
frolenc :
samehee 7x70
2026-09-17 15:06:39
1
mna_ster :
hukumu za kiislam🙌🙌 nikajua za Mungu.
2026-09-17 14:11:55
14
Felician :
mmmmmmmmmmmmh
2026-09-17 20:04:15
0
G4real :
Who are you
2026-09-17 19:41:17
0
kida gaten :
Sio Harmonize tu kuna mm nikifa siitaj hata hao mashekh na mapadr kwenye mazish yangu
2026-09-17 10:03:20
33
BAJOM..451 :
kwani huyu tahira ni wa wapi
2026-09-17 16:01:48
14
QR official :
team Konde boy like hapa😍😍😍
2026-09-17 10:27:02
37
Hamisi Ibrahim :
mkamilifu kasema jamani
2026-09-17 10:50:25
19
Japhetlupondo14 :
unaongea kama nani.tupo nae mda wote
2026-09-17 13:13:46
26
joycejoyce5048 :
ww na harmonize yesu anawapenda
2026-09-17 14:35:13
13
Meekjoh99 :
subiri ndo nimepata album yake mpya 🙌🙌🙌
2026-09-17 13:17:47
7
BR 3562 :
Galatia 6:1-3
"Ndugu zangu, mtu akipatikana katika kosa lolote, ninyi mlio wa Roho mrejesheni mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe. Mbebeane mizigo ninyi kwa ninyi, na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo. Mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake."