@muftiibnkaswezi: #tiktokindia #tiktokkenya🇰🇪

Mufti Ibn Kaswezi
Mufti Ibn Kaswezi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 07:58:47 GMT
1841
70
25
42

Music

Download

Comments

ahmed.abdul.aziz32
Ahmed Abdul aziz :
haya sawa point yako nn?
2026-09-17 08:48:48
2
abdimalikibrahim31
Abdimalik :
njaa ni kitu mbaya sana
2026-09-17 15:58:42
0
suleimankibet149
SuleimanKibet149🇰🇪 :
Masha'Allah Mufti sahib. Swali limeenda shule.
2026-09-17 19:02:43
0
moses.elinisafi5
Moses :
tuambie tupone
2026-09-17 08:02:25
1
whitebravo2024
whiteBravo :
Kwa kifupi: jina la Kiarabu si sharti kwa jinni, na jina la Kihindi halithibitishi kwamba jinni huyo ni Mhindi.
2026-09-17 08:15:17
0
chunaazeynab4
chunaa zeinab :
jini kaswezi
2026-09-17 17:12:10
0
mwakathegreat1
Mwaka The Great :
😂😂😂😂😂😂
2026-09-17 16:47:01
0
kaloleemma
kaloleemma :
mambo vipi Kaswezi?
2026-09-17 09:42:38
0
kingujunior
Call me kingu :
Swali lako sio baya ila ni ufahamu tu ndo huna sio kwa ubaya. Jini ni term inayotumiwa na waislam mapepo au pepo ni term inayotumiwa na wakristo ila ni kitu kimoja. Ni sawa na sheik na mchungaji wote viongozi ila specific. Ni sawa ukute sheikh mathayo jacob. Mchungaji abdallah mahmud. Sanuka
2026-09-17 19:40:42
0
khalid.mghosi
Khalid Mghosi :
Ndio mana ata God pia sio jina haliko kwa vitabu vya Mungu original
2026-09-17 18:06:33
0
stevoo1234567890
EV. Stevoo :
ata malaika hawana majina ya kiislam
2026-09-17 16:19:05
0
user83211565493722
kuta za juu :
majini pia wanajua ukweli kuhusu dini na ukweli wa mambo.. wao kama viumbe wanamjua muumba wao na maelekezo yake sahihi...
2026-09-17 16:00:50
0
ibnu.abi.adnan
ibnu abi adnan :
kwa sababub majini sio bindamu
2026-09-17 08:06:13
0
thomas.mallya4
Mallya Fashion Hub TZ :
kaaaaaa mwanangu umewaza mbaliiii kweli cjawa kuona jin huaniuu
2026-09-17 09:34:19
0
whitebravo2024
whiteBravo :
Mtu anaweza kumtaja jinni kwa jina la lugha yake, au jina likawa limetokana na utamaduni wa eneo husika
2026-09-17 08:14:24
0
ahmad__shah_
Ahmad Shah :
KWANINI JINI AITWE MARKO WAKATI, ANATOKEA NANJILINJI, JINI ILI AITWE MARKO NENDA ITALY UTAWAKUTA WENGI, NENDA CHINA UTAWAKUTA WAKIITWA LEE, ILA JINI WA SUMBAWANGA LAZIMA ATAITWA KASWEZI, “sio kwa nia mbaya, sio kwa ubaya😎”
2026-09-17 09:54:10
2
mwakathegreat1
Mwaka The Great :
Majini Woote ni Waarabu na Waislamu Hayo Ndio Majina Yao.
2026-09-17 16:47:27
0
salipa_paul
PAUL SALIPA :
😅😅😅😅 jiniiii oyee
2026-09-17 13:03:23
0
functionfx
functionfx :
jini bathlomeo diaz
2026-09-17 08:48:58
0
imray41
Lizard :
jini ndacha, jini ponda, jini ipm[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-17 19:03:45
0
abuumehar1
ABUUMEHAR :
😍😍😍
2026-09-17 08:11:42
0
To see more videos from user @muftiibnkaswezi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About