@official_hassan_mabati: Ushirikina Katika Ujenzi Hili ni jambo lililopo sana Tanzania, hasa Dar, Pwani, Tanga. Watu wengi wanaamini, Wengine wanatumia kama mbinu ya kutafuta pesa. AINA 7 ZA USHIRIKINA UNAOFANYIKA UJENZINI 1. Kuchinja kuku / mbuzi kwenye msingi 2. Kuzika chupa / mayai / hirizi kwenye kona 4 3. Kuweka pesa / sarafu kwenye msingi 4. Fundi kusema "Bosi kuna nyoka msingini" 5. Kutokuruhusu mama mjamzito kuingia jengoni 6. Kuzika nguo au mifupa ya mnyama juu ya lenta 7. Mganga kuja "kuzindua" nyumba MADHARA HALISI YA USHIRIKINA UJENZINI 1. Unapoteza pesa - Kuku wa kafara 50k, mbuzi 200k, mganga 500k - pesa zote bure 2. Nyumba inaharibika - Mayai na damu chini ya msingi inaleta wadudu, harufu na uozo 3. Msimamizi anakuibia - Akisema kuna mzimu, atakupa bei kubwa ya vifaa halafu anakula pesa 4. Unachelewesha ujenzi - Siku 3 za kusubiri nyota nzuri, mvua ya kafara n.k 5. Kisheria - Kuchinja hadharani bila kibali cha afya ni kosa Ukitaka nyumba yako iwe salama kisheria na kiimani: Kwa Muislamu: • Soma Dua ya kuingia nyumba mpya, Sura Al-Baqara ndani ya nyumba siku 3 za mwanzo • Toa sadaka kwa maskini - hii ndio kinga halisi Kwa Mkristo: • Mwite mchungaji aombe, sio mganga • Maombi ya kuweka wakfu nyumba Kwa Kihandisi (Muhimu zaidi): 1. Pima udongo (soil test) - 300k-500k Dar. Hii ndio inazuia nyumba kuanguka, sio kuku 2. Tumia fundi mwenye leseni - Mwenye CRB, sio fundi wa mtaani tu 3. Tumia nondo za kutosha - MSingi usiweke kuku, weka nondo 12mm na saruji nzuri 4. Weka kinga ya mchwa (ant poison) - Hii ndio dawa ya msingi, sio chupa Fundi mzuri atasema: "Bosi mchanga mbaya, ongeza saruji" - sio "bosi kuna mzimu"

Hassan Harun
Hassan Harun
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 08:00:59 GMT
30211
549
46
107

Music

Download

Comments

ddegdenis
ddeg Denis⭐ :
duuh hii ni noma ila only god is great
2026-09-17 13:19:14
3
bestee140
#MA..BESTE😍🗽 :
hapa kaz hamna tena😅😅
2026-09-17 12:53:06
1
ngaistevenngai1
steven ngai :
Mbona mm kuna bundi alikuwa analalankwenye nyumba yangu lkn nimemaliza Ujenzi,bundi ni ndege kama ndege wengine.
2026-09-17 16:37:30
2
phina0674
Phina🌺🌺 :
Duuh jamaniii
2026-09-17 09:52:01
0
bashirathuman575
Bashir Athuman :
basiiiii Kuna ninitenaaa😂😂
2026-09-17 10:11:43
0
rafael.paul02
Rafael paul :
2026-09-17 13:01:43
0
nzagi6jr
Nzagi jr :
duuhh
2026-09-17 13:05:59
0
benjaminben370
Ben Benjamin :
mbona kama ni site yangu vile😳😳😳
2026-09-17 17:33:45
0
emmanuelwestony35
emmanuelwestony35 :
tutatobokweri
2026-09-17 14:41:23
0
matondo0423
Matondo04 :
duh nami nij,,,,,,,,
2026-09-17 11:03:41
0
mwalongo25
gody chambuu :
nyumba ikiisha jipongeze
2026-09-17 15:26:37
0
user5532294530967
hosseni :
opo ndip unapoambiwa maisha ni sir
2026-09-17 15:17:46
0
lucas47837
lucas :
kamati imekaa ina tunga sheliy
2026-09-17 16:06:54
0
paskali.jailos
paskali jailos :
nimecheja xn kama mazur
2026-09-17 14:52:24
0
dicksonjackson26
dickyt :
Unatoboa mwanetu mungu ndio mwamba ao wachumba tu
2026-09-17 14:49:44
0
merlinone94
Merlinone94Robert :
msingi tu miaka kumi kumbe maengeneare mko wengi
2026-09-17 14:22:15
0
augustinodaudi481
Augustino Daudi :
usiogope we fanya yako💪
2026-09-17 10:56:55
1
deking931
Ommy stickers :
mmh
2026-09-17 09:58:21
0
betlandemmanuel
betlandemmanuel :
Ndugu zako wakisikia umenza kujenga
2026-09-17 12:42:19
2
daillah0
daillah@ :
hutoboi
2026-09-17 16:49:23
0
venture8181
venture8181 :
huyu akitoboa sijui
2026-09-17 15:41:52
0
sinyagwa.modeko
Sinyagwa Modeko :
baba pauzwe mbongi hy hutoboi?
2026-09-17 17:00:49
0
msaka.tonge93
MSAKA TONGE :
ah kwisha ukijikamua unaishia kwenye linta hpo ndo Hadi inaota ukungu
2026-09-17 15:21:04
0
lajabusalanga
Lajabu Salanga :
hao wakaguz kutoka selikar ya kijiji
2026-09-17 14:39:43
0
princealz
Dylanic :
🤣🤣
2026-09-17 10:03:34
0
To see more videos from user @official_hassan_mabati, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About