@mwakagugu_jr: UMOJA MOVIES WANATUMIA NGUVU KUBWA SANA KULIKO KAWAIDA, KUNA MTU KAONA LIBRARY ZIMEKUWA NYINGI KASOGEZA PUA, TUNARUKA NAE 🤬 #KataaUmojaMovies #bongomovie #Library #movies #mwakagugu

Mwakagugu 🇹🇿
Mwakagugu 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 08:11:27 GMT
67118
3364
359
258

Music

Download

Comments

dulakhan815
~~B|@¢k ®@!$!π§🔥🤪 :
ndo maan saiv movie beighali
2026-09-18 04:26:00
0
eddykenzob
eddy kenzo :
awa jamaa tangu waje kazi zetu zimekua ngumu kaka sijuh tunajiteteaje
2026-09-17 18:45:43
47
rango.4524
Rango 45 :
Fact kaka
2026-09-18 06:31:58
0
malleys_1
malleys123 :
who are you??
2026-09-18 10:36:41
0
_de_hotice
Isaac De Hotice :
Hata mm nashangaa kaka tuungane kupinga hilii💪💪💪
2026-09-17 14:43:15
26
sneckvan
ᴅᴊ ꜱɴᴇᴄᴋʏ♨️ :
lakn hapo pia unakosea hawalazmish ww kuchukua movie kwao kam c za djs wao usionge kwa mihemko mkuu....
2026-09-17 20:32:55
13
aclam245
Offset😈 :
huwezi kuongea pointi iv nkunyime like♥️
2026-09-17 20:38:03
32
mropejr
MropeJr :
Huo umoja kwani wao umiliki wa kutangaza movies za nje copy right wanapata wapi waache huo ujinga. Hilo swala haliwezekani.
2026-09-17 19:33:51
23
lynxdemor
lynx lynx :
na hawana hata copy right za muvie
2026-09-17 19:43:38
1
selebob.makata
Selebob Makata :
mkuuu umetishaaaaa
2026-09-17 20:52:15
0
shujaawakemama
SHUJAA WAKE MAMA🧑‍🍼💪 :
fact broo🫡🔥🔥
2026-09-17 22:02:53
0
badhuu_
BADHUU___🧢 :
Kuna hawa board ya film nao tamaa imewaingia
2026-09-17 17:10:32
9
demonvoice89
MSALITI :
kamavipi Tusaport movie za Nje2
2026-09-18 04:20:21
7
dicksonjohackim39
dicksonjohackim39 :
kwa eshima nakuunga mkonooo bigap sana
2026-09-18 10:48:59
2
almasomary545
Almas Omary99. :
kaka unaongea ukweli usiopingika na mm ninaona ipo haja ya kuandaa maswali ya kuwauliza na wanijibu
2026-09-17 09:58:03
6
gadymsigwa
🌴G Bøy 🃏🍂 :
[Fire][Fire][Fire][Fire] tupambanie kaka
2026-09-17 21:16:52
3
cxg62
SIXG :
mpaka tunyooooke 😅😅
2026-09-17 17:57:29
1
stephen.martine
Stephen Martine :
hii nchi ukianza kuuza ki2 hata kama ni mkojo utashangaa inakuja taasisi ya kuthibisha uuzaji wa mikojo safi na salama
2026-09-17 20:23:08
7
munuoeletronics
munuo electronic :
dj muphy
2026-09-18 05:38:34
1
drago191130
Drago@1911 :
smartphones,wifi na vingamuz ni vingi zote zinapunguza wateja wa movies Bora waeendelee na system ya zaman tu bei ikiwa kubwa library ndogo zinakufa
2026-09-18 02:36:26
1
pamfildonasian
Pamfil Donasian :
Bado kilammoja atafikiwa mpaka wote tuongee lugha moja
2026-09-17 19:26:31
1
mashamadvdofficial
official madvd :
kwel wanazinguwa
2026-09-18 06:42:44
1
msabatolibraly
Baba Ethan⛎ :
@millardayo
2026-09-17 17:31:47
3
user8065655318408
DJ MBAKA @001 :
na yeye apate faida sasa bila yeye movie utapata wapi
2026-09-18 07:33:47
0
hoodempirefashion
HOODEMPIREFASHION :
jau sana Hawa jamaa
2026-09-18 05:58:53
1
To see more videos from user @mwakagugu_jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About