@gadafi12_wanted: Mungu nusuru Tanzania 🇹🇿 na El nino🙏🙏🙏#tiktoktanzania🇹🇿 #viral

Gadafi wanted Og
Gadafi wanted Og
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 08:24:36 GMT
128179
5423
243
89

Music

Download

Comments

user7167288816156toto
Toto :
jamani hii mvua ya leo ni ya kawaida tu lakini watu mnakuza mambo
2026-09-17 13:21:49
115
user7305679834212
dayanna :
hamna el nino wala nn niaminn mim[Pray][Pray]
2026-09-18 06:30:17
1
fettyhamisi21
bby🥰🥰fetty :
ameen [Pray]
2026-09-17 10:21:12
0
dantz294
Daniel tz🇹🇿 :
El Nino ni 29 October kwaiyo tulizeni pressure
2026-09-17 17:16:23
2
ibrahmsimbazi
Ibrah msimbazi :
hii sio el nino tulioishuhudia mwaka 2000 tutawaambia ikianza 😂😂😂
2026-09-17 16:59:04
17
onesmachitema
onesimo chitema :
sina atamashaka mm
2026-09-17 15:48:47
0
haki12poi
Baraka BY :
hizo ni baraka za Mwenyezi Mungu hawezi let mvua kubwa kwa sababu sisi ni watoto wake na anatupenda .
2026-09-17 13:41:51
37
user5841950491279
~ MR. RAMAR❤️💙💚 :
ambao atujaenda kazn off tujuane kwenye koment
2026-09-17 11:01:54
12
passenger8343
ROBIN🔥🔥XIX :
ko mvua isinyeshe sas elinno ila wabongo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-17 13:55:24
1
princess.divana.00
Princess divana 005❤ :
kway kusinyeshe mvua wenetu jamnii mvua ndog tuh mbn🥱🥱
2026-09-17 20:55:27
1
juakalenocka1
juakalenocka762 :
jaman si tulielewana adi mwez wa 10 au
2026-09-17 15:22:29
8
wemaatz
Wemaa❤️❤️ :
Mbona mvua ya kawaida sana au kimara sio Dar😂😂😂😂😂
2026-09-17 14:49:41
5
dorcas23250
Dorcas :
naamin kweny hili mung atatuvusha salama amen 🙏🙏🙏
2026-09-17 13:19:24
8
iddytolo
iddy tolo :
Ssi watu wamikoani huku kagera Ngara tuna cheka tu
2026-09-17 16:26:28
3
jnas055
J NAS😘 :
nyny wadar achanen naizo mada sawa
2026-09-18 07:29:06
1
aishadaud2026
aishadaud478 :
mungu ni mkubwa mungu yupo nasi pamoj tuko Mae
2026-09-17 15:49:34
3
robathrobath7
robathrobath7 :
Amen 🙏🙏🙏
2026-09-17 20:15:10
1
user1618741609881
PESIA BIGAWA :
Watanzania mna hamu nayo jaman mbona mnakuza mambo
2026-09-17 15:44:26
1
dalusisingija1234
dalusi boy :
Vp tena mbona mwezi wa 10 Bado hujafka
2026-09-17 17:07:50
1
zawiyahussein
Zawiya Hussein :
kweli ya kawaida tu
2026-09-17 14:28:31
1
kbonby17540
🅕🅡🅐🅝🅚 :
we acha 2 hije mungu mwenyew ndo anajua chakufany😂😂
2026-09-17 16:53:04
1
kim.cattieh
cathy🦋🥂💫 :
mbn nikinyume na makubaliano si ni mwezi wa 10 jaman
2026-09-17 19:15:02
2
bintaction
Mrs God og :
mbn mvua imenyesha ya kawaida sana jaman
2026-09-17 14:43:04
1
user9326526877438
Rehema :
mungu tusaidie na tuepushe hii mvua mbaya
2026-09-17 13:34:37
1
onester33
onester mdasy :
watu waongo jaman kwa mvua gan hata ndoo za maji sijajaza
2026-09-17 18:47:34
1
To see more videos from user @gadafi12_wanted, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About