uko mbele ya muda kwa weledi wako, madaktari wengne huwa hawataki kusikiliza maoni ya mgonjwa/ ndugu wa mgonjwa.
2026-09-17 22:20:45
1
@jumanzali :
hakika kabisa ,,elimu kwa patient na relative inahitajika sana 🙏
2026-09-17 13:26:22
1
mama J collection :
chatgpt ni nzuri sana kama utamweleza vizuri mimi amekuwa akinisaidia sana na namwamini
2026-09-18 08:50:12
0
Dr Faustine Onesmo MD :
Chief🔥
2026-09-18 07:08:32
0
marcelo :
si ungempa tu placebo na aende akienda.
once mtu akisema aliuliza kwa mtandao au layman.
nikijihakikishia hakuna life threatening conditions, wewe nitakupa placebo uende ukienda na utalipa matibabu safi
2026-09-17 14:53:31
1
Rontgen15 :
ukija ku command nafukuza😁sitaki ujinga mkajitibu sasa wenyewe
2026-09-17 17:23:04
3
To see more videos from user @drreginauisso, please go to the Tikwm
homepage.