me hata cash out 10000 nikiacha naumia bro milioni 20😳🙌🤌
2026-09-17 09:38:19
14
Mtukazii :
Juzi tu nimeacha 2.8M yani sitaki kukumbuka
2026-09-17 14:00:44
3
ytterbium :
KRISTO TUMAINI LETU 🙏🙏🙏
2026-09-17 14:12:52
2
jorma_2.3 :
Niliacha 15k hadi leo najilaumu😅😅💔
2026-09-17 11:37:27
2
chieflyzer :
ndy maana me ikitokea nimetembelea shamba la mhindi nikikuta chochote kitu kinazidi nilicho panda afu kuna timu zinazurura natoaga kabisa staki pressure 😄🙌
2026-09-17 14:27:22
1
wachokonozii :
namini ilo sanaa
2026-09-17 15:41:36
0
Jamal Abd :
Niliacha 280 nikisubir Milion 1 na laki 2 kwa Buku inaniuma sana
2026-09-17 13:08:28
1
Meddy teknø 💚✴️ :
wandani wandani
2026-09-17 09:06:02
1
Mr marash :
🥰🥰🥰
2026-09-17 10:35:35
1
Heartbreak💔💔 :
mmmh
2026-09-17 09:01:31
1
KING 🤴 F :
yaani mimi niache hizo hella subutu
2026-09-17 13:20:26
0
Steve Kasawalah🥼 :
2019 hiyo Mechi 😀
2026-09-17 11:32:41
4
ArsenText@ :
cash out million7 nikaach sabab alibaki arsenal kapigwa kimoj na Bournemouth Noma sana😕😕
2026-09-17 10:10:18
3
RASHID JUMA :
kaka mm niliacha 15000 cash out kwa kula ni 50000 nilijilaum
2026-09-17 11:45:15
1
Montana_sportsweartz :
siji sahauu hyo game 2019 au 2020 kama sijakosea nilikosa 70000 nililia saana 😂😂😂
2026-09-17 11:48:19
1
Tupashe TV :
Dah me Jana Man Akishinda 2 Nikasema apa Naacha Nilale kesho nakuja Hela yangu Milioni 2 Ila Kilicho Tokea na AmkanAsubui Dah nakuta Man Kachana Nusu nife na Presha
2026-09-17 10:25:26
1
pokea kanjeli :
we baba mm nililia nilicash out kumbe itashinda
2026-09-17 09:56:56
1
Mr hardwork🇹🇿 :
kama Jana evaton nilikua nasubiri washinde cash out ilikua lakitano ikawa inashuka hadi elfu 70 ,ila mvumilivu hula mbivu😂😂😂🤣