uzuri mtu anayetaka kulia tunamjua🤣....yanga bingwa
2026-09-17 15:58:55
18
Athumani Yusuph :
Akuna kitu
2026-09-17 16:30:24
0
Bukhatir Junior :
lipase yatakiwa akacheze Barcelona sio tz ten
2026-09-17 14:03:38
5
Nadah Astalavistah :
Gusa kote ila apo kwa MAX ndo unaharibu sasa .
2026-09-17 11:47:55
3
Patrick J Lubela :
Huyu jaamaaa nishabiki wa Simba kabisa nahisi hapa mtaelewa sasa [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-17 09:20:58
9
M.kilindo6 :
libase ni copy ya vini utaalamu upo nguvu ipo kasi ipo sema wote wawili sio wazuri kwa mipira ya kicha tu
2026-09-17 08:58:56
17
shawpaliu :
samahani jamanii kwani ngao ya jamii hakucheza libase?
2026-09-17 11:04:52
5
mnipa :
libase simba yupo kama mess wako ndio maana wanamu9na bora yanga wapo wengi
2026-09-17 18:40:28
2
Raulence :
ivi max misim mingapi yupo vile vile hauwezi mfananisha na mtu ambae kafanya vzl msim mmoja2
2026-09-17 14:27:16
4
Bigbang👊 :
Dula ni Simba Hana cha kutusaidia kwenye mpira.
Maoni yake yana beba Simba tuuu
2026-09-17 11:26:28
5
Dominick :
mbona kwenye daby alionekana max 2
2026-09-17 17:57:36
0
dicksele :
muache mtu aongee yamoyon libase nikwer nifundi simba nguvu1
2026-09-17 10:53:21
3
MR.GRAMY_999 :
Libasse 🔥🔥🔥
2026-09-17 11:06:25
2
Juma Haji :
🤣🤣🤣🤣🤣 wapinzan wenyewe wanasemaje
2026-09-17 11:14:13
2
salum :
ustadh mbona unaongeza moto
2026-09-17 09:24:30
8
Imtiyaz Mohanmed :
Msifieni ila c kwa darby mda utaongea
2026-09-17 21:05:10
1
father la south 👊🤟💀 :
Kuna nini tena Simba huyu
2026-09-17 16:29:44
1
Ajobile Kanjanja :
wachambuzi wa matukio. hawachambui consistency. mnachambua ili kuwarizisha mashabiki ila sio mpira unataka nini. baada ya tarehe 10 mchezaji anaanza kusemwa sio kusifiwa.
2026-09-17 17:47:42
0
Ngwele Saidy :
kwani akisema ivyoo ndonini
2026-09-17 15:07:37
1
mablukey :
na ndo mchezaji pekee anaeongoza kwa kuchezewewa rafu nyingi kuliko mchezaji yeyote ligigi kuu
2026-09-17 15:47:30
1
Lightness :
nikweli
2026-09-17 09:35:03
3
To see more videos from user @coolie_brian, please go to the Tikwm
homepage.