@talkwithpaul: Meeting great people comes with a responsibility. Inspired by the kindness of Prof. PLO Lumumba, Joram Nkumbi reflects on the importance of repaying goodness through service to society and sharing knowledge with others. Life is short, and everyone has limited time to make a difference. We may not achieve everything that great leaders like Julius Nyerere accomplished, but we can still work toward leaving society better than we found it. Kindness is contagious. Speak kindness. Do kindness. Leave waves of goodness wherever you go. Full video on youtube link in bio ________________________ Kukutana na watu wakubwa katika maisha huja na jukumu. Akiongozwa na ukarimu wa Prof. PLO Lumumba, Joram Nkumbi anatafakari umuhimu wa kulipa wema kwa kuitumikia jamii na kushirikisha wengine maarifa. Maisha ni mafupi, na kila mtu ana muda mdogo wa kuleta mabadiliko. Huenda tusifanye kila jambo lililofanywa na viongozi wakubwa kama Julius Nyerere, lakini tunaweza kuhakikisha tunaiacha jamii ikiwa bora kuliko tulivyoikuta. Wema unaambukizika. Zungumza wema. Tenda wema. Acha mawimbi ya wema kila unapopita. Full video ipo youtube Credit @pentagon_rentals for production #talkwithpaul

TWP podcast
TWP podcast
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 09:10:26 GMT
8935
550
5
25

Music

Download

Comments

final.say3
Final Say :
BIG FOCUS BRO,SO PROUD OF YOU 🙏🙏🙏
2026-09-17 12:22:25
3
chumakj1
BARIADI MOJA,💓 :
big brain
2026-09-17 21:35:52
0
big.paul22
AKILI NA PESA :
true 💯
2026-09-17 11:48:27
3
vutton74
vutton :
mlumbi
2026-09-17 16:36:30
2
sonsure47
Sonsure47 :
tuisaidie jamii kuwa bora kuliko tulivyoikuta
2026-09-18 04:33:08
0
To see more videos from user @talkwithpaul, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About