@kiswahilitvonline: Huyu ni bingwa wa masumbwi Floyd Mayweather akimpa Gervonta "Tank" Davis ushauri mzito wa maisha ambao kila mtu anapaswa kuusikia: "Ukiwa unafanya vizuri, watakuwa na jambo la kusema. Ukiwa unafanya vibaya, watakuwa na jambo la kusema. Hivyo fanya kile kinachokufanya uwe na furaha. Niliipata hii private jet na kutengeneza zaidi ya dola bilioni moja kwa sababu nilifanya kile nilichotaka kufanya." 👉Je, unakubaliana na maneno ya mwamba?

kiswahili Tv
kiswahili Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 09:12:47 GMT
4186
214
3
5

Music

Download

Comments

obyor.stanley
Obyor Stanley :
fact 🔥✌️
2026-09-17 09:31:43
1
user5684179492659
BwiruBoyk@ :
@BwiruBoyk@⚔️𝑂𝑉𝐸𝑅⚔️
2026-09-17 12:53:12
0
dullafeysal
dullafeysal :
❤️❤️❤️
2026-09-17 09:35:13
0
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About