@tbconline: Tazama vijana wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kutoka Operesheni Nishati Safi na Operesheni Linda Amani wakiamsha morali (wenyewe wanaita Chenja) wakati wa sherehe za kuhitimu mafunzo yao leo, Septemba 14, 2026, zilizofanyika katika Viwanja vya 834 Kikoshi cha Jeshi la Kujenga Taifa, Makutupora, Dodoma.

TBC Online
TBC Online
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 09:21:18 GMT
4203
156
0
10

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @tbconline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About