@youngsayeed: Kumekucha Young Sayeed amjibu Ostadh yazid #dawah #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

YOUNG SAYEED
YOUNG SAYEED
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 10:03:53 GMT
35411
2482
226
152

Music

Download

Comments

chapion389tiktok.comchap
chapion 💪👈 :
akisema ukwer I know many Muslims don't want Christians to slaughter animals.
2026-09-17 11:03:21
1
jumanne644
QuranVoicesWorld 🌍📖 :
mashallah unafanya kazikubwa sana mungu akupe uhai mlefu ili watu wazidi kujifunza🙏🙏
2026-09-17 10:14:05
32
hemedomar432
Hemed Omary :
Naomba kujua na hii ya kuowa wamepata wapi maana yesu ajaowa
2026-09-17 11:20:33
10
dr.makin3
maki :
Kwan ALLAH kwa kiswahili si ni MUNGU. YULE YULE KISWAHILI NI MUNGU NA KIARABU NI ALLAH sasa utofauti upo wapi...
2026-09-17 14:24:30
5
amisimbk1
Amisi Mbk1 :
anasema kweli
2026-09-17 12:07:54
2
user7912436140861
khan bey :
takbir waislam
2026-09-17 13:50:28
8
safielmashika
safielmashika :
acha uongo jamaa yupo poa sana
2026-09-17 11:24:15
11
user1612199707212
user1612199707212 :
njoo na pointi kama alivyo kuja mwenzako kwa point
2026-09-17 12:25:41
3
sabkiunassibu
Sabkiu Nassib :
Allah akuhifadhi
2026-09-17 10:57:28
7
mpwapwaclass
Mpwapwa Class :
Haina mahana kwamba yeye asionge Chochote. We Mjibu kwa Facts ili tujifunze zaid.
2026-09-17 12:58:32
0
gabitole255
Gabi Tole :
Naitaji kujifunza ndugu zangu waislam kitabu chenu ni kimoja inakuaje kunakua na utofauti kupingana kati yenu nyie wenyewe?
2026-09-17 15:51:03
1
user3477526817072
bab Nipha :
we mbon hauongei pointi
2026-09-17 15:43:22
2
jacksonlukuba
CALL ME HONEYBADGE! :
shekhe mjibu kwa fact iliyokwenye kitabu
2026-09-17 15:01:07
1
user7953612247332
ramadhani :
nimependa hoja tupe majibu ya huyo jamaa ndugu
2026-09-17 12:32:44
1
dogonoone
D"O" G"O"N"O"O"N"E"9 :
please
2026-09-17 10:17:11
1
lions.queen7
🌹lion's queen🦋✅️ :
kuanzi leo Naku follow😘 Allah akuhifadh🙌
2026-09-17 20:36:16
2
www.tiktok.commkenyafilm
MKENYA FILM :
huyu hatukani anaongea fact
2026-09-17 11:55:05
1
user31043284279726
Hamax shera :
Achaneni na kijana wa wenyewe furaha yenu mnataka akitoa matusi ndio vizuri Yuko sawa mbona
2026-09-17 21:06:48
1
suleyman.mussa36
Suleyman Mussa :
Mmmmh
2026-09-17 10:57:51
1
jabir.teng.chuma
Jabir Teng Chuma :
fatilia video zake sheikh usikurupuke
2026-09-17 11:50:54
1
user9704651630749
myaudi og :
natk .kujuw..kwani.yesu..arihowa.
2026-09-17 11:55:34
0
falajigmail.com
[email protected] :
mashaalh
2026-09-17 11:15:14
1
ick.xclusive
LAST BORN :
@sssssss:dogosam_official1Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema😭
2026-09-17 16:14:07
1
chapion389tiktok.comchap
chapion 💪👈 :
nikweri 💯💯
2026-09-17 11:03:52
1
lazarocharles771
Lazaro Charles :
yuko sawa
2026-09-17 11:36:16
1
To see more videos from user @youngsayeed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About