tena watoto ndio block kubwa weng hawajashtuka tu🤣
2026-09-17 18:09:41
1
abrazuually :
Sasa mm watoto wako4 baba yao haelewek nitaawacha na nan niende nao labda
2026-09-20 21:14:14
0
Neymaah Naddin :
Kumbe ndio maana sipendi kuzaa
2026-09-18 07:48:50
1
DOMISIAN333 :
mi nimekuelewa tena sana
2026-09-17 10:31:19
1
mutabas :
hatima ni nn
2026-09-18 16:59:56
0
Lady Halima :
Not without my daughters…sitachelewa na nitafikia kusudi langu biidhinillah. Alienipa kusudi atajua ni namna gani nitamanage.
2026-09-18 18:28:31
0
Topselaz :
Ahsante studio
2026-09-20 13:32:33
1
Bantu Empire :
Hivi dada unanifahamu nini?
2026-09-21 22:29:54
0
Orudo Nyar Ojuok :
tunaeeza toka na watoto
2026-09-18 05:48:40
0
Jared songolo :
aksanti sana
2026-09-17 18:14:25
0
KEMI :
du jamanii 👏👏
2026-09-18 07:19:00
0
Scholastica Shitobelo :
good idea
2026-09-17 13:41:03
0
天选之子 ♉🧿 :
😭😭😭😭😭😭 ngumu sana hii
2026-09-17 17:01:43
0
adaadaouko :
I good 2 be a lone
2026-09-18 18:06:35
1
Black tz....afficial💥💫💥 :
kumbe ndomaana wengne hatutak kuoa tunasema hatutak makelele ya watoto sasa sisi tutaishije bila mke na watoto jaman uteule kaz sana ingefaa kumpa mwingne ingekuwa pw kusaidiana
2026-09-17 18:49:29
1
Chosen One :
Nilikuwa nang'ang'ania ndoa na narcissist kisa watoto. Ujumbe niliokutana nao uliniambia unaacha kusudi unawaza watoto!? Nitakunyang'anya ufe nimpatie mwingine. Hivi sasa watoto wametawanyika kama vinyonga. Nimebaki na mmoja tu abayesoma. Kuwa Chosen ni msalaba.
2026-09-22 01:22:30
0
alhabiby :
😳😳
2026-09-17 17:58:19
0
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm
homepage.