@dstvtanzania: #whattowatch #juakaliseries #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

DStvTZ
DStvTZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 12:15:00 GMT
127379
8775
117
73

Music

Download

Comments

treassuresgeorge
Trezzy volar.official :
hi movie inatufundish nn
2026-09-18 16:56:58
9
yussralada
بنت الإثناعشرية :
mshngz hauelew ht kdg
2026-09-18 14:14:40
12
itcney4
ITC Ney ❤️ :
aibu naona mm
2026-09-18 14:12:17
31
djibrill.katembo0
Djibrill Katembo :
nimpate kama huyu. waouu
2026-09-21 07:00:30
1
katqueen888
➿K’🌶️ :
Jina ya movie
2026-09-20 07:39:09
0
chris_creative_
chris_creative_ :
@chris_creative_:kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-09-22 00:19:41
0
reenhumble23
Reenhumble23🦋🐻❤️ :
Yaan reginaaa ni Mimi mtupuuu nikimpendaaa mtuuu🤣🤣🤣
2026-09-21 06:01:16
1
mrskim033
Kim🥀❤️ :
2026-09-18 16:55:02
0
crdpius
Crd Pius :
[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]love doesn't ask why
2026-09-18 15:27:36
4
princesskudrat1
𝓟𝓻𝓲𝓷𝓬𝓮𝓼𝓼🌸 :
Hii ni maajabu
2026-09-18 13:38:09
3
benedictsoka944gmail.com
lopez de hancy :
kazi ipooo 😂😂😂🙌🙌🙌
2026-09-18 12:19:18
0
timaah_rasheed
سَلْمَى رَشِيد 🌹 :
Mambo niyapendayoooo🥰
2026-09-19 00:14:00
1
kubombaki
Tiktok lizy123💞💞 :
DStv kiboko yao🥰🥰
2026-09-18 15:36:09
2
najmakhamis743
shuu♥️743 :
mungu nisaidie niweze kudeka jamani duuh
2026-09-19 08:52:12
1
user124387706531.f
user124387706531 Fabiana reine :
😂😂 aibu naona Mimi jamani ila ndo ivo nampenda Rejina
2026-09-19 17:08:59
2
zenamalik35
user6066817440734 :
jmn aibu naona
2026-09-19 10:30:29
1
pendo5389
p😘e😘n😘d😘o :
jamani msichana wetu ameingia mazima 😅😅
2026-09-18 15:43:18
1
g_______l32
G________@● :
Enzo? Patrick akigunduwa ata ku piga naku kuvunja heeeeeeeeee 😂
2026-09-19 15:35:20
0
sagittariusqueen511
Sagittarius Queen♐️ :
Mwaka anaangaliaga hii kweli 😂😂
2026-09-18 17:05:20
8
lucyalkad
lucy :
up na msichan wetu
2026-09-18 13:51:54
1
furaha.a3
furahaoutfit🌹🌹🌹 :
kwishaa😂😂🤣
2026-09-18 12:24:25
1
user1672492156158
INNESS Williams 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Enzo alipata wapi ujasiri hivi🤣
2026-09-26 12:30:27
0
flora.gadi.mbowe
flora gadi mbowe :
masikini regina ndio kashapenda kasahau kuwa ameolewa
2026-09-27 09:30:06
0
user8882271158200
itika faraja :
yaan Enzo anajiweke mipaka kwa mke wa mwenzake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-26 12:58:24
0
jannewamama
Janne mnyakyu :
kwan tunao funzwa na dunia likizo yetu lini?😆😆
2026-09-29 06:51:54
0
To see more videos from user @dstvtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About