@rev.adonijah1: Part :1 Ukweli kuhusu Mamajusi wa Mashariki, pdf zipo tayari download link🔗 kwenye bio yangu #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ゚viral #gospelstories #fypシ゚viral

Rev. Adonia Charles
Rev. Adonia Charles
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 10:49:22 GMT
1774
92
3
6

Music

Download

Comments

wisdom3393
wisdom :
shikilia pale herode aliwatuma wakamletee taarifa ta mtoto na mahali alipozaliwa lengo ni apate kumuangamiza lakini Mungu aliwatia upofu wakarudi na njia nyingine pasipo kumrudishia mfalme Herode mrejesho,hapo kuna mambo mawili 1.Mungu alithibitisha ukuu wake dhidi ya nguvu za mamajusi kwa kuwatia upofu wasimrudie Herode(Mungu aliwamudu ukiachilia mbali nguvu zao zilizoaminika katika utawala wote wa kiajemi) 2. walitumika ili kumuepusha Mtoto Yesu na mkono wa Herode ili kulinda agano jipya la Mungu (YESU KRISTO)
2026-09-18 09:08:11
0
josephwanjala28
Joseph Wanjala :
uongo mamajusi walikua sio wachawi bali wasoma nyota
2026-09-18 08:04:31
0
user7598279981259
Black Mamba :
mama jusi sio waganga wataalamu wa nyota wasomi wanyota
2026-09-17 17:02:34
0
To see more videos from user @rev.adonijah1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About