Ndio maana kijana wa kiume hatakiwi kumjudge baba yake.
2026-09-17 12:14:23
3
Zahra bin ahmed :
hata kama huna kisa amekuanza tu
2026-09-17 12:36:08
1
Victor🍀☘️🍃 :
Wajuaji
2026-09-17 12:30:36
1
Lince Sangoro :
True but tell me how about mtu mwenye aliacha watoto na ashuguli kabisaa like forever and watoto wanaona tu akishugilika nawatoto wa mwanamke mwingine tell me sir
2026-09-17 11:09:59
0
Toto zuriii😍😋 :
ata kama anakuroga jamani
2026-09-17 13:27:20
0
Jossephine :
petriachy
2026-09-17 13:10:54
0
silviagustavo❤️ :
hawa akina baba ambao hawatunzi watoto wao?? au wepi??? hawa ambao wananyanyasa mama akiwa mjamzito ,,, aisee
2026-09-17 12:27:21
0
.co.uk13 :
Mm baba alinikataa .. sijawai kumsamehe
2026-09-17 14:23:39
0
Arafa Ally :
huyu huyu baba yangu aliouza shamba langu?
2026-09-17 13:14:12
0
Esien Store :
kwel kabisa laana inatoka kwa baba si kwa mama maana kama laana angepewa mama jaman wakina mama wepesi sana kulaani ukimkosea kidgo tu nitakulaani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-17 13:54:14
0
JJJ Jovin :
sasa nini kifanyike baba ayo mambo yasitokee
2026-09-17 12:11:07
0
Jackson Mnyashidunda :
MIMI SIMFICH MZAZI WANGU KAMA NI MKOROFI AU MCHAWI
BAHATI NZURI MIMI NINAMAONO CHOCHOTE KINACHOENDA KINYUME NAMAISHA YANGU HUA NAELEWA KIUFUPI KAMA PANA SHIDA ACHANA NAPO
2026-09-17 13:18:08
0
Sweet_manka1 :
Sasa nimeamini Kweli kabisaa ona Diamond alivyo
2026-09-17 11:50:20
1
Machuzi 🇹🇿 :
Mshon WA kitenge nauwon Doctor
2026-09-17 12:33:39
0
To see more videos from user @jajirichard360, please go to the Tikwm
homepage.