hii ilikua foul 50/50 kwa hy adhabu ingetoka kwa wote
2026-09-17 14:30:48
0
nuhu msuya :
mimini Simba lakinikamajana wamekaa kutored ataazz k kaonewa tukio nililelile
2026-09-17 13:46:18
1
Baim Kaloloma :
tz kwa upande wa waamuzi bd kipengele sn benchi la ufundi limeomba we unakataa kwa kigezo gani wakati sheria unawaruhusu benchi kuomba pia nafasi zipo4 kwnn wakatae?bora kiibiwe2 ijulikane hakuna maana kinawaumiza watu wa chache2
2026-09-17 18:04:53
0
Traore the great :
Bado kwenye derby ndio mtaona maajabu ya hii ligi subirini tar 10.10
2026-09-17 17:56:54
0
SKY VIEW* :
jana marefereee wamezingua sana
hii ligi itakuwaje jmn ni yanga bingwa kwa lazma kumbe mko serious??
2026-09-17 17:50:48
0
AYOUB HUMBI :
hatari sana
2026-09-17 17:32:39
0
Young kida :
Marefal wetu washazoea Kuhongwa hawatishiki
2026-09-17 16:57:18
2
Sanga123! :
kwanini kuangalia inakuwa kunamvutano?mbona hayo mambo ulaya hayapo?refa aliyepo kwenye video support yeye hatimizi wajibu wake!au naye kabeti?
2026-09-17 13:22:30
0
user4710656237591 :
FVS ipo kwa ajili ya kuinyonga Simba na kuibeba Yanga
2026-09-17 17:21:28
0
soipeyrolekimaki :
Tatizo la marefarii wa Tz wanaingia uwanjani kwa maelekezo
2026-09-17 12:25:15
0
UBORAKWANZASOURCINGAGENT🇹🇿 :
Ndugu jaribu kuongea Kiswahili, au ni bora ukaongea kingereza mwanzo mwisho,
2026-09-17 18:15:07
0
james stephano lukong'ola :
Azam inakuja kama waarabu wanataka kutuzoea
2026-09-17 17:16:40
0
Erasmus Mallya :
simba nimnyama mkali anaumayeyote apa walishawapa pesakitambo
2026-09-17 15:34:28
0
Jacob laiza :
[Pray][Pray][Pray]
2026-09-17 15:35:20
1
abduli :
😳😳😳
2026-09-17 15:56:40
0
MANSHUNSHWA &METROPOLITAN🦍 :
🥰🥰🥰
2026-09-17 11:37:15
0
AUTO NADOO 💪💯 :
@ligi kuu
2026-09-17 17:05:33
0
shomi :
🥰🥰🥰
2026-09-17 11:58:45
0
To see more videos from user @billo5947, please go to the Tikwm
homepage.