@pstevanskyalo: #creatorsearchinsights #whenyoustartlovingyourself

Evans Kyalo
Evans Kyalo
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 17 September 2026 11:35:07 GMT
210708
3445
180
214

Music

Download

Comments

simonmugweru107
simon :
he who doesn't dream is dead. hii ujinga ya kuskiza hawa watu ndio itakurudisha nyuma.
2026-09-20 06:42:42
17
rose.mueni95
Rose mueni :
niombee naota sana nkiwa Shule sana
2026-09-17 13:17:37
13
muganza374
muganza :
hakuna mtu asieota hizo ndoto
2026-09-20 19:01:04
4
lizy.mamakebelden
💞 Lizzy Queen 💞 :
aki pia Mimi naota nikiwa shule primary nikipigana😭😭😭
2026-09-18 09:55:23
6
belynder2
Auntie madooh😁♥️♥️ :
Mimi pia naota Niko shule nikipigana
2026-09-17 19:04:58
12
ann.sande
Rose sande :
mimi naota naota niko shule na kalamu zinakata kuandika
2026-09-22 08:57:30
2
queen_mcotieno
_acquino254 :
mimi huwa naota eti niko exam ama tunarevise ...
2026-09-19 20:36:23
5
joro3270
special dancer :
nimekua nikiota hizo ndoto and nikiomba no change ata nimechoka
2026-09-17 18:00:59
6
d_acupuncture
First Move society :
Kila mtu anaota hivyo. childhood events always stick to the subconscious permanent
2026-09-20 12:13:02
3
kennedymwangi2351
dingDing👽 :
a dream is a memory stuck in the glitch..not all these shenanigans..msee..
2026-09-20 13:58:54
1
funpagee29
Jetin🇰🇪 :
Millenials mnyamaze sasa
2026-09-21 21:24:10
2
jusijuise
joy wasilwa :
mimi, huota nimerudi ile shule ya zamani
2026-09-21 11:56:53
1
popo_ojey
Ojey Simpson's 🏍️ :
read Isaiah 43 18 and 19
2026-09-18 20:15:42
0
eunice.wanje2
Eunice wanje :
mimi ninaota nimeolewa naniko na ndoa
2026-09-20 16:09:04
1
shantanantana
shantana ntaah :
pastor niombee Mimi Kila siku naota kama Niko nimerudi shuleni
2026-09-20 03:28:03
1
jayjay64460
adams :
wah,izi ndio me huota na hadi sai life yangu hai change,shida tupu
2026-09-19 19:52:25
1
inviolata.khareji
MAMAKE ABU :
ukweli muchungaji mm hua naota shosho yangu tena naota Niko shule plz niombee tuvunje roho ya Giza katika maisha yangu 🙏🙏🙏
2026-09-20 11:04:27
1
user5173195220
eliza :
pastor, niombee ak mm nimeishi kuota hizi ndoto zote umesema ak na sahii Niko na watoi wawili
2026-09-20 06:12:04
1
merry.cut0
Princess 👸 :
Kila siku naota nipo shule ya msigi sijawah kufika hata chuo kila siku shule ya msing
2026-09-19 22:08:30
1
wilfred3398
Wilfred :
I used to dream niko kwa uniform ya jungle bure kabisa 😁😁😁and it came automatically
2026-09-20 12:48:38
2
stella.shiyo
mashio og👌 :
nimeota hizo ndoto mpaka Sasa nimezoea
2026-09-17 15:23:41
2
jemoo.dhe.tiger
Jemoo Dhe Tiger :
pastor mimi kila siku naota nikirudi shule
2026-09-18 23:11:50
4
maggiebeib8
F.A.R.A.J.A,,🙏Z.U.R.I🦋🦋 :
m niko abroad lakini naota niko kwa area yangu tu pale niombeee
2026-09-20 04:36:16
1
princegeff
Prince Jeff Jnr🇰🇪🇨🇦 :
people interpret anything in this life but what matters is what you believe in
2026-09-20 19:35:34
2
user5285501762818
Hellen johnson :
Mm naota sana hizo ndoto na nipo najenga vitajijua venyew
2026-09-18 10:51:18
4
To see more videos from user @pstevanskyalo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About