@cityboyexpress: Mvua sio kikwazo tena ☔🌧️ Je! Unajua kuwa unaweza kukata tiketi yako ya basi bila kutoka nje? Hata mvua ikinyesha, hakuna haja ya kusubiri kwenye foleni au kuhangaika na hali ya hewa mbaya. Kupitia www.cityboyexpress unaweza kufanya 'booking' ya tiketi yako popote ulipo, kwa haraka na kwa uhakika. Ni rahisi, haraka na salama kukata tiketi za safari zako zote na BusBora, Pata tiketi zetu kirahisi mahali popote ulipo! Tembelea www.cityboyexpress Kwa msaada zaidi tupigie kwa namba zifuatazo: Head Office - 0716 634 649 #prideofkaragwe