nitajuaje mimi ni wa maji au upepo au moto au udongo
2026-09-21 03:54:02
6
pascal_#son :
25 june
2026-09-17 19:21:48
1
Growth Hub :
Mathayo 11 : 28 30 — Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu. Kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.”
2026-09-19 17:14:31
21
PRIANCA BEAUTY SALON ✅ :
Mi hayo mambo naogopa🙌🙌🙌🙌 maana tumeambiwa tusiabudu miungu mengine🙌🙌🙌
2026-09-18 09:15:44
5
linahmwasandele :
28 November,mm ni nn??
2026-09-30 05:50:41
0
Cathy ✨ :
Mimi nitajijuaje
2026-09-22 16:41:44
0
Betty Mzimba 🖤 :
10/8 mie ni gan pls jmn nifanye hivy maan fyuuuu siri hakun kitu kinaenda ni kumshukur tu mungu kwa uhai ila haijakaa saw kbs
2026-09-23 16:09:01
0
Lizzy :
mm 25 mwezi 5 nipo nyota gani kipenz
2026-09-18 09:55:14
0
JoyManka Collection Zanzibar :
Yesu ndio jawabu la mambo yote Amka saa nane usiku omba
2026-09-28 06:25:30
7
Riri🍭 :
Mimi sio najikuta saaaana ila nikiongea na Mwenyezi Mungu alooo ananijibu Isaya 54:17☺️
2026-09-18 06:40:42
11
MOH.SAIBARI :
Hawa bwana wanatuchanganya
2026-09-18 04:22:51
0
ALEX DREDlocs :
dada mm saii ni mwaka wa tano nimekua nikiugua malaria...
na mara nyingi imekua ikinisumbua sana nikija mjini, daily homa lanisumbua mpka ile time nkienda kijijini homa hilo hua laisha tu lenyewe.....
nimejaribu kuenda kwa waganga, wachungaji na mashekhe lkni sijafanukiwa kupona jaman......
apa nafanyaje dadangu 🙏
2026-09-29 19:11:46
2
💞naah💕 :
3 February ni nn jamn
2026-09-27 11:44:37
1
Kendy candy :
nitajua aje
2026-09-18 08:24:53
0
felix Mwakyanjala :
Unajuwaje Element yako
2026-09-20 20:30:10
0
To see more videos from user @monatural_herbs_spices, please go to the Tikwm
homepage.