@veriafya: Akizungumza kupitia Clouds Media, Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Nathanael Mtinangi anaeleza kuwa ili mwanamke apate ujauzito, mwanamume anahitaji kuwa na mbegu zaidi ya milioni 20. Tofauti na wanawake ambao huzaliwa na idadi maalum ya mayai, mfumo wa uzazi wa mwanamume hufanya kazi kama kiwanda kinachozalisha mbegu mpya. Kufanya tendo la ndoa kila siku hasa kwa wanandoa wanaopitoa kipindi kigumu cha kupata watoto hupunguza kiwango cha mbegu chini ya milioni 20 kwa sababu mwili unahitaji siku 3 hadi 5 kutengeneza mbegu zenye ubora na idadi ya kutosha.
million 20 vip sasa wakati ina hitajika mbegu moja tu
2026-09-17 16:34:39
0
Dhulkarnayni Khidhri :
ww unasem uwong2
2026-09-17 16:25:10
0
user5469690554609 :
@p
2026-09-17 16:53:29
0
Chotara wa kigogo812 :
Hii ya siku 14 sio kweli
2026-09-17 18:36:32
0
Brown Alex :
kwaiyo doctors kuna umuhimu wa kupiga bao tatu kuendelea
2026-09-17 17:12:26
1
one kill one cover :
nyie wataalamu mnatuchanyanya badala ya kutusaidia , shuleni mlituambi mbegu mojatu ndio inatungisha mimba , wewe unasema milioni 20 ,kama mmeshindwa kutuelimisha acheni basi tutatumia njia za kienyeji tu.
2026-09-17 16:39:50
1
Dhulkarnayni Khidhri :
bad san elim yko ndog
2026-09-17 16:25:23
0
D.ster.Tz :
SIKU 14 mwanamke mh
2026-09-17 13:29:48
0
user24024190945116 :
✅✅✅
2026-09-17 18:28:29
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.