@shiykaz_cake_land: Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un. 🤍 You were a good man in a world that needs more people like you. Your kindness, your character, and the lives you touched will remain long after your departure. Some people leave this world, but the goodness they gave never leaves us. May Allah forgive you, have mercy on you, fill your grave with light, and grant you the highest place in Jannatul Firdaus. You will be deeply missed and never forgotten. 🤲🏽
Uncle You went so sudden Allah akuweke mahali pema palipo na wema 🥹🥹🥹🥹. BEST UNCLE EVER . RIP LEGEND 🥹🤲🤲💔🕊️🙏
2026-09-17 13:36:30
5
Bad Boy :
ALLAH ampe Qaul Thabit kwani Usiku wa leo mzito sana😫😫 na sie tulobakia atupe Khatimah njema🤲
2026-09-17 13:24:25
50
user8106158360608 :
mcheshi na mtu wawatu Allah amrahamu amjaliewepesi katika usiku wa kwanza kwenye kabr
2026-09-17 13:48:10
15
masala02 :
Uwende salama kipenzi cha watu. Allah akupanulie qabri lako. Akujazie mwangaza. Akujaalie qauli thabit. Jannatul Firdaus iwe makao yako. Ameen Yaarab
2026-09-17 13:28:45
18
ummuhayfa5 :
Allah amfanyie sahali usiku wa kwanza katika qabri lake, amtilie nuur, liwe rawdha min riyadhil jannah
2026-09-17 13:01:59
32
silentgal backup :
mjombaaaa aaagh mjombaaa😭😭😭😭😭😭
2026-09-17 13:20:37
18
Mayra 005 :
may Allah grant him the highest rank in janaah
2026-09-17 14:29:52
1
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
innalillah waina illahi rajiun Allah amrehemu pema peponi inshallah amsamehe makosa yake na ampe kauli thabit
2026-09-17 14:46:10
4
user3382686828824kimani :
poleni
2026-09-17 17:07:57
0
business life :
ever in our heart😭😭😭😭😭🤲
2026-09-17 17:07:56
0
Dyder :
An understanding landlord..Allahumaghfirlahu warhamhu waskinhu fil jannah
2026-09-17 15:58:47
3
mimah_mima :
si dr ni captain
2026-09-17 13:43:54
4
Nailah :
He was very generous Allah amemuhitaji kizuri hakikai
2026-09-17 13:42:44
3
❣️glam Asia ❣️ :
alhamdulilah Allah akurehem
2026-09-17 13:43:32
0
Salma Bahaidar205 :
kumeondoka mtu si mchezo..Allah ampe kauli thabit amueke pema penye wema..😢😢😢
2026-09-17 17:54:04
1
zahramwachala :
Raab amurahamu amuoshe na maji bardi amkunjulie kabur lake liwe vyumba vya peponi.Amiin yeye na wazee wetu ndugu zetu wote waliotangulia mbele za haki.Allahumma amiin Raab
2026-09-17 14:23:14
5
habiba :
mwenyezi.mungu amuweke pema.
2026-09-17 13:26:22
3
MUNHAD COLLECTION :
innalilah wainaileh rajiun
2026-09-17 16:29:28
2
Aries :
Innalilahi waina ileihi rajiun Dr. Heri yupi huyu WA beyondscope au mwengine
2026-09-17 13:41:09
0
Zarina Abdul hasnal :
@Bad Boy:ALLAH ampe Qaul Thabit kwani Usiku wa leo mzito sana😫😫 na sie tulobakia atupe Khatimah njema🤲
2026-09-17 14:11:06
2
@Princenasser :
Allah akupe qauli dhabit... Akuepushe na adhabu za qabri...awape subra walofiwa...awaondoshee huzuni awape maliwazo...
2026-09-17 14:07:23
2
simba mtoto :
Allah amueke pema......jamaa MashaAllah roho yake peke yake.....mm nilifanya kazi yakubeba watoto wake Alhamdulillah....
2026-09-17 14:04:45
1
sinam :
ni huyu ama mungu amueke pemaa peponi
2026-09-17 13:35:50
1
MJOMBA NI MAMA :
Allah amjalie kauli thabith
2026-09-17 13:03:39
1
CST.jamaalbahati :
Innah lilahi wa innah lilahi rajiun
2026-09-17 18:49:11
0
To see more videos from user @shiykaz_cake_land, please go to the Tikwm
homepage.