Nimejaribu kufanya ivo vidole kama lulu nimeshindwa😂😂😂😂
2026-09-18 06:03:09
47
nanahena_01 :
dada mariamu kheri za allah ziwe juu yako usichoke dada thawabu hizo..dada twaiba mauwa yako.....Allah awabariki.
2026-09-17 15:23:18
119
ever07 :
kwa nini watu taira hunona sasa
2026-09-18 06:24:14
6
Nejme sule🌸 :
lulu unagubu mm nisingeweza
2026-09-17 19:28:25
18
Its_me❤️ :
Mariamu mashaAllah mrembo
2026-09-17 20:02:11
9
samahakihange725 :
jamani dada muulize Leo kasoma nini😁😁😁😁
2026-09-17 13:07:25
43
Julie Wafula :
Walai,Walimu hupata shida na Lulu😂😂😂
2026-09-17 13:06:34
41
Lizzy bae :
bag ni ya nini
2026-09-30 19:21:25
0
Rafiki Jackson :
mariam mwenyezi mungu akujalie uwe na moyo huo huo kwa kumlea lulu
2026-09-17 16:40:51
41
cute isher :
hongera dada Mariam mungu akulipe inshallah
2026-09-17 15:14:37
30
SAMARITAN :
kama wewe Ni muislmu ndio uchukue funzo hapo kuwa kila mtoto Hua anazaliwa Na Rizki zake, mashaallah 🥰💞 subhanallah lulu Na Ukthy Twaiba hawahusiani lkn Ona Mungu alivo Na huruma,Twaiba anamlea huyu binti km mtoto wake ,sidhani km Twaiba ama lulu aliwahi kuwaza km Kuna siku watakutana waishi km mama Na mtoto,innallaha maaana😭wallahi ala kuli Shei kadir🥰 Allah akupe umri (Twaiba)umlee huyu mtoto mpaka aolewe Nae apate kizazi Cheney kitamtizama pindi atakapo kuwa mzee
2026-09-19 04:33:39
18
ummu balqiis :
Allah akulipe ww na.maryamu kher za dunia na kesho akhera
2026-09-18 08:01:24
10
FELLY@7619 🇹🇿❤🙏 :
Huko Shule walimu inakuwaje...?
2026-09-17 15:59:37
9
0687042880 :
yani hilo begi linapata tabu
2026-09-24 06:37:22
2
shanie :
ila lulu anakuwa na misimamo 🤣🤣🤣🤣 mariam mung akubariki
2026-09-17 13:21:00
8
Dimpo🌹💞 :
Hongera kwake Mungu awatunze wote[Heartwarming]
2026-09-21 14:21:47
1
MSUKUMA :
Daaaah Mungu ambariki da Mariam
2026-09-29 06:04:39
1
chimumy :
msongeze apa
2026-09-19 20:09:56
2
user1981116978841 Zedy J :
Maryam mashalah mrembo🙏
2026-09-21 07:56:41
1
coco_la_vee :
Mie nilijuaa afu ni watoto wake kumbe Hapanaa 😌😌 aiseh Allah azidii kukubariki sio lahisii
2026-09-28 17:35:25
1
To see more videos from user @twaiba_classic, please go to the Tikwm
homepage.