@skip_studios: SKIP STUDIO — THROWBACK THURSDAY ASLAM — “TURUDIANE” 🎶 Miaka miwili sasa imepita tangu wimbo Turudiane utoke tarehe 31 Julai 2024, lakini mpaka leo bado tunakumbuka mapokezi mazuri ambayo wimbo huu ulipata. Audio imefikisha 82K+ views YouTube, huku video rasmi iliyotoka tarehe 16 Agosti 2024 ikiwa na zaidi ya 235K+ views. 📈 Aslam ni kijana mwenye kipaji kikubwa, hazina ya taifa na moja ya talents zenye uwezo mkubwa zilizowahi kujitokeza. 🇹🇿 Miaka miwili imepita, lakini muziki bado unaendelea kuzungumza. Kipaji kilionekana, watu wakakipokea — na safari bado inaendelea. 🎶 🎬 SKIP STUDIO TBT — THROWBACK THURSDAY Your Vision. Our Mission @Aslam Tz
nilikua nimeanza kupona🥺 sijui kwanini tena nimekutana na hii nyimbo tena
2026-10-18 12:01:14
5
@CHOYA BEES..✊ :
unayoo helaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 20:47:27
2
HANA❣️ :
hii nyimbo iliniliza sana😭💔
2026-09-24 13:19:34
2
T msimamo :
inaitwj?
2026-09-24 21:26:43
1
@Msafi-ComedianTz :
Fundi
2026-10-02 08:17:01
3
His🍀sajiboe :
mkali kabisa
2026-10-03 21:48:38
2
idishabani :
ww unajuwa kaka ni 😆😆😆
2026-10-01 18:50:40
1
official kihzo :
sahihi kak
2026-09-24 05:23:28
2
sharny33 :
2026-10-21 21:57:29
2
Farao Lion :
familia
2026-10-18 13:33:46
1
Black eagle :
daaaah
2026-10-26 00:13:22
0
ALYAN :
sauti ipo
2026-10-29 10:43:34
0
mchopa jr :
swalu Kani wabongo kaka we mkali bwana
2026-10-14 21:15:56
0
@CHOYA BEES..✊ :
aslam mwanangu ww
2026-10-05 20:47:17
1
Laukhan :
🔥🔥
2026-09-25 20:20:42
1
⚛️JMARIO THE GREAT 👑 :
@Aslam Tz 🙌🔥
2026-10-18 03:19:19
0
NTWARA ICON 🦍 :
Nakumbuka mwaka 2024 niliitwa na bibi yangu kijijini NANGURUWE aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-09-17 13:16:18
3
Sonshine Og :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 20:54:44
0
To see more videos from user @skip_studios, please go to the Tikwm
homepage.