@trtafrikasw: Tundu Lissu ametajwa kuwania Tuzo maalumu kutoka Umoja wa Ulaya. EPP, ambalo ni kundi kubwa na lenye nguvu zaidi la kisiasa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya, limependekeza rasmi jina la mwanasiasa, wakili, na mwanaharakati wa haki za binadamu wa Tanzania, Tundu Antiphas Lissu, kuwania Tuzo ya Sakharov ya mwaka 2026 (Sakharov Prize for Freedom of Thought). Tuzo hiyo ya Uhuru wa Kujieleza ndiyo heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya kutambua watu binafsi, vikundi, au mashirika yaliyojitolea maisha yao kutetea haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, demokrasia, na utawala wa sheria. #tanzaniantiktok🇹🇿 #tundulissu

TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 13:05:49 GMT
53571
3986
91
103

Music

Download

Comments

lakhim35
Lakim :
Lisuu ni the anointed one
2026-09-17 15:15:35
34
ibu56561
Ibu 56 :
lissu is Tanzanian polician hero
2026-09-17 15:59:12
2
2010thesun
2010thesun :
rais ajae
2026-09-18 07:30:28
5
mykt86
MYKThe Legend :
Lissu The Tanzanian Goat 💪
2026-09-17 14:35:30
11
emmanuelmmbando2
Emmanuel c mmbando :
atashinda lazima
2026-09-17 14:42:06
33
user2456959988518
Joel malula :
peoples power
2026-09-17 20:30:37
1
rusenge
marufu :
kwasasa dunian hapa ni tundu lissu ndio anastahili kushinda
2026-09-17 16:52:22
15
roselyross
Roselyross :
he deserve
2026-09-17 16:01:53
0
mbongomovieonline
M-BONGO MOVIE ONLINE :
kinglisuuuu
2026-09-17 21:27:41
0
iwalanje1
IWALANJE KWETU 🛖 ENZAJI HAYA :
noreform no election✌️✌️✌️✌️forever
2026-09-17 14:14:04
10
markshari44
Mark Shari :
tuzo hii ataishinda na tuzo aletewe pale mahakamani
2026-09-17 16:32:08
10
vee_fresh_cosmetics
VERONA GOLD COSMETICS :
mtangazaji umeitangaza hii habari kwa umaridadi kabisa tuzo tunayo na tunatamba nayo 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-18 06:51:50
4
zolaba3
Wazir :
Jinsi ya kupiga kura
2026-09-17 14:08:05
8
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
HAKIKA Atashinda KING TUNDU ANTPASS LISSU
2026-09-17 19:15:09
4
suimlozi
sports :
ccm haya ndio matokeo ya kumfunga lisu
2026-09-17 17:58:40
6
dadykimoko
Dady Kimoko :
tunapgaje kula
2026-09-17 18:17:29
2
majani7160
CANNABINO :
Lissu Mungu anakuona utafika Baba Ulindwe Maisha Yako yote
2026-09-17 16:41:39
4
marcobusumba
mwanza 💚 :
mungu mwema atapokea naimani
2026-09-17 15:45:58
4
thabit.ngangila
thabit ngangila :
alhamdu
2026-09-17 13:37:52
6
hermanntambala
Herman Ntambala :
tunamuombea
2026-09-17 19:01:11
1
user3605724315169
yohana makono :
atashinda mungu yupo
2026-09-17 17:59:59
1
honoratha.swai
mazombi :
mwamba wetu ❤️
2026-09-17 14:59:23
3
icon_kidd
🚀 SANCHOCRUISE 🛰 :
Tunapigaje kura
2026-09-17 15:34:04
4
mohamed.kandeka
Mohamed Kandeka :
Tupen namn ya kupiga kura hiyo
2026-09-17 15:50:00
4
adella.samba
adella samba :
Mungu endelea kutenda miujiza kwa.Mtumishi wako
2026-09-17 17:38:18
1
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About