😂 ikitokea umedondokea kwenye maji mpaka chuma isimame watu wapo zanzibar
2026-09-23 11:52:22
14
Nurdin Hamady :
chapu nishapanda
2026-09-23 06:32:33
0
D𝑲𝒊𝒏𝒈 ♛ ×̷̷͜×̷ :
Michezo tu afu michezo kwa heshima 😂😅
2026-09-23 08:08:26
1
Princess divana 005❤ :
izo dakika 10 nakufa nikasahauliwa vooh dunia tamu 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
2026-09-23 20:38:45
0
C.o.M.r.A.d.E____EG💎♦️ :
Sasa ukidondoka wenzako watakuwa washafika [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 12:55:23
1
Official Kitete :
T-shirt nyeupe ni mimi hiii siku sitaisahau Yani nakwambia hadi leo nipo Captain no 3d wa ABANDON SHIPS Acha tu hii video waliikubali na ninae rafiki yangu WA nyuma hapo yye yupo kwao KIGOMA WILAYA YA KASULU yani hii mzanzibar Mimi niliwaokoa watanganyika mabegani kama kiungi wa mpira pale YANGA AFRICA ni AUCHO...
2026-09-20 08:33:07
2
Aliy Bakari :
ah mambo yangu haya michezo tuu
2026-09-22 09:15:44
3
adolatimukwela :
mhh
2026-09-23 20:31:50
0
hemed issa 🧿 :
iyo uwakika fasta tu
2026-09-20 10:31:00
3
Hanaf_hn :
ah weeee nan kasema
2026-09-20 21:21:57
1
Idrssa gana gueye🥷🏿 :
Mambo yangu hayoo me ndyo nipo na t-shirt nyeupe
2026-09-20 07:01:17
3
Hamad Omari :
yani apo ndyo vitu vangu jabisa naenda
2026-09-20 18:00:53
2
a'saa khairaa :
Dah dkk kumi nyingi sana apo
2026-09-18 03:40:49
2
Abdulmajid Mlala :
na havina wasiwasi
2026-09-18 11:28:17
1
Dr osd :
bora nifike kesho tu hakuna tatizo nyinyi nendeni
2026-09-18 06:40:23
2
Suleiman Salim :
mhh😅 mtanisamehe wazee moyo huo sina😂😂😂😂
2026-09-19 20:33:41
1
abuuh store :
hizi ndo zetu sasa🤝
2026-09-23 20:05:17
0
Official Kiddy :
😄😄😄😄 ngoja niage uku niandaliwe kaburi
2026-09-23 20:40:52
0
Faa097 :
kunikosa
2026-09-23 20:46:25
0
Abdulhamid Hussein :
bila ya wasi
2026-09-23 20:08:19
0
Jobwe kid💥 :
wanakuchota nini
2026-09-23 20:45:05
1
To see more videos from user @hamadeddymaclayz001, please go to the Tikwm
homepage.