kaka Yanga Inakutegemea Pambana Achana wale waotaka kuleta ubishoo wa kishamba kwenye timu yetu
2026-10-19 17:42:52
0
kikota kwetu :
ayupo alowazidiiiii
2026-09-17 21:38:22
2
Princess Gladie :
yangaa bingwa
2026-10-20 07:02:34
1
Sefu Jay :
Pambana kaka unajua san sijawahi kukuping, na naoenda san uwanz maana wew na shsh tofaut, mfano , nafasi 7 za kushinda shsh anaweza tumia mbili au 1 ila we tule masta benzema,✊ nafasi 5 ,tu unakamba 3 naamni, 🙌🙌 🤚💛💛 mungu akuzidishie maufundi uzidi na hat dabi ufanye jambo🤟🙏
2026-09-18 21:19:58
2
Mwanaidi Shabani :
hakuna olowazidi🥰🤲🤲🤲
2026-10-10 19:53:07
0
Aisha12 :
wachezaji wetu wazur saana
2026-10-12 11:20:06
0
Jackline Zakayo :
usijar baba ni jambo la mda ila ta me nimeumia san