Mashaallah huyu sheikh ana hekma san yan licha ya uyo khurafi kuongea kwa jazba na haelewek anachozungumz lkn sheikh wala haonesh kukasirika Allah akulipe kwa ilo sheikh.
jaman shekh wao huyo anatwa jina gani nahitaj nisearch hayo maojiano hayo
2026-09-17 20:52:50
1
BIN MWASITI :
Allah amuhifadhi uyu shekh kwa dozi aliyo itowe
2026-09-18 08:28:46
1
odo jy :
allah tujalie tuijue haki tuifate amini
2026-09-18 07:26:57
2
Ali Sharif :
jamani tusomeniii
2026-09-18 04:26:04
1
Rama Bakar :
๐คฃi๐คฃ๐คฃ
2026-09-17 21:47:14
2
hamqaati :
allaah akulipe sheikh wa kisalaf
2026-09-18 08:28:04
0
SIR - LYM WE THE BEST :
amen
2026-09-18 13:07:28
0
Hassan Ahmed galib :
we sufi utamsomesha nani umepewa Aya na hadithi irabu ulie taka umetafsiriwa vizuri bado tu unakaidi wallahi shekhe Allah amzidishe kila lililo jema mana kwanza Ana hekma ya hali ya juu masha Allah
ahsante saana umemridhisha mungu na pia Sisi wapenziwako umemjibu Bola kasoro Bola presha hadi kahizika mana kajakiugomvi ameonahaya saana tenasaana ila kwavile kajua ugomvi hajakubali MOJAKWAMOJA ila umemtuliza Sana hongera
2026-09-18 13:52:09
1
DODOMA FINEST ๐น๐ฟ๐ฒ๐ฆ ๐ธ๐ฆ :
punguzeni background sound ina kelele sana
2026-09-18 09:33:42
0
mtingile :
Allah amuhifadh sheikh wetu Abu saamiy seif ghifaariy
2026-09-18 09:55:44
1
Binghaddaffi Moussa :
Allahu akbar
2026-09-18 17:15:56
0
user4377503405568 :
kuazialeo siendi maulidin nimeona atunaoja bali ni ushabikitu
2026-09-18 05:10:01
7
Ammi muu :
Wanamkausha koo sheikh ila nkatika hali yakuhanyahanyaa tu, Allah atuongoze sote yaarabb
2026-09-18 05:28:59
3
Mr nukuu๐คญ :
mashaallah sheikh anajibu kwa hekima na busara na anatoa hoja ,dalili na ushaidi kabsa lakin huyo jamaa mmmh hana hekima na anajazba sana wakat wa kuzungumza Allah atujaalie hekima na busara katika kutafuta elimu na kufuata mafundisho kama alivyotufundisha mtume wetu
2026-09-18 07:09:11
3
To see more videos from user @abuu_saad_, please go to the Tikwm
homepage.