mtoto wa kiume anaanza kukalishwa akiwa na umri gani
2026-09-22 16:24:44
9
madam g mitumba :
Wangu katoka kufanyiwa op mwezi uliopita
2026-09-22 12:36:23
11
Dee' :
staki kuskiliza mpaka mwisho jamani wangu Hana tangu azaliweee Ana mwaka msaada jamani
2026-09-23 16:40:10
4
Doll :
Mchumbaangu ana matatu,
2026-09-25 13:56:34
0
SEVERINA :
mwanangu anayo moja
2026-09-24 08:26:32
0
de_queen❤️ :
Tunaaangaliajeee jmn mm Naogp ata kuzigusa jmn 🥺
2026-09-23 03:44:17
1
Merry Mlaponi :
Boil Ndo nn jamn
2026-09-23 05:16:42
0
Mom miry :
huy wangu 6 months lkn kwa kusimamisha n jhtr😂😂
2026-09-24 19:37:23
2
Matilda :
mwanangu ana koro moja 😭
2026-09-23 05:49:58
0
Zuhura Mrisho :
mtoto wangu huwa moja upande wa kulia huwa inavimba na kupanda juu nilienda hospital tulipewa dawa za maumivu tu,nawakati wa baridi ndy shida sana mtoto ana mwaka mmoja tu
2026-09-22 18:06:06
2
H :
mwanangu Hana 😳
2026-09-23 06:10:59
0
bint_ibrahm :
naomba unijbu dada me wangu nikimtoa diaper boll zipo zote mbili ila zinakua kama zimelainika mno na zinakua kama lengelenge
2026-09-23 01:18:12
2
godson kavishe :
mwanangu vinapanda juu vyote
2026-09-23 08:56:24
0
monh :
wa kwangu ana mwaka na miez2 cjawahi kuona anasimamisha umee wake
2026-09-24 14:17:29
0
Roynolds Arnold :
Shule kubwa Ahsante"""ila hao wakina mama hilo neno wengine hawalijui so nivyema tu utumie lugha walio izoea waelewe##Punguza Pressure unapoongea tulia Doctor shusha pumzi.
2026-09-17 22:53:16
7
Mayala Dominico :
Nina Mtoto wa miaka 12 wa kiume ana Boll moja tu ushauri yako please
2026-09-22 16:25:47
1
belle lizzy :
Je anaweza asiwe nazi na akasimamisha vizuri
2026-09-23 09:25:31
3
Ester Kessy :
mtoto wangu anayo moja ingine ipo huu
2026-09-23 08:48:55
0
mariah💝 :
me wangu kukiwa na barid zinapotea mda mwingine zinarudi kama kawaida je hii ni tatizo Dr?
2026-09-21 11:22:45
4
athumanihamisiman :
wakwangu ana miaka 7 lakini ana bol moja mpaka sasa je anatatizo
2026-09-22 18:15:54
2
Stella Yusuf :
ongeeni kiswahili tuelewe wote
2026-09-23 07:43:54
1
Radhia Ramal :
Hivi ukiwah kumkalisha mtoto wa kiume miez 3 inakuaje
2026-09-22 19:09:34
0
To see more videos from user @radtechpolyclinic, please go to the Tikwm
homepage.