@mnajimumkuuafrica:

MNAJIMU MKUU AFRICA
MNAJIMU MKUU AFRICA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 13:38:49 GMT
119437
4286
676
546

Music

Download

Comments

user7331336683888
@pretty sophy 🥰🌹😍 :
me nmeachwa Jana ,, someone to send me just a hug😭
2026-09-18 05:40:20
4
nicklassfamily
nicklassfamily :
hujaniambia mapema na ndo leo tushamalizana uku
2026-09-17 17:36:15
108
zalhahamad19
Zalhahamad :
mimi leo nimemfumania mume wangu na mwanamke mwengine😭😭
2026-09-17 16:43:44
66
bintchupi
bint :
ukianza mausiano na mungu ayawezi vunjik
2026-09-18 06:29:37
9
0622leetz
Mrs.lee :
dah mm siku yapili Leo yamevunjika😭😭💔
2026-09-18 06:22:18
34
21paris1
21paris :
nkwl man np natetea penzi apa
2026-09-18 20:53:06
0
nayrathathuman
Mayah💙💙 :
mim leo nimepata uzuni kwel nimepata taarifaa mpnz wang ameowa mwanamke mwngne😭😭😭
2026-09-17 15:14:18
32
miss_nam01
Miss_nam :
nyie this thing hurts
2026-09-18 19:53:21
0
tellahvivah
🎀Tellah vivah🎀 :
napitia kipindi kigumu sana kwny haya mahusiano inaniumiza sana 😭😭
2026-09-17 20:59:03
25
minahs75
minah s :
mimi yangu hayana tarehe kila siku naanzisha ugomvi sijui niko na jini wala mvipi mana ata sielewi
2026-09-17 16:31:48
37
mkizungo1
Mparemzury❤️🔒 :
Yan mm nipo chupu chupu cjui itakuwaje ila sitaman uuw
2026-09-17 18:08:35
10
user9225961201047
Rby :
mbona km nimechelewa kuona ila sio mbaya sjachelewa sana 😂
2026-09-17 17:58:55
13
ma.g7140
Sophie :
kila mara unachelewa kwann usiseme tangu jana😂😂
2026-09-17 13:57:29
15
user160346223993
S@lm@ :
name song please
2026-09-18 19:43:56
1
beautiful.lady3223
beautiful lady🥰🤗❤ :
na mie leo ndio nimetengana nae rasmi japo kuwa nampenda kuliko hata maisha yangu ila sawa najuwa nitaichukuwa mda kupona ila inshallah nitapowa 🥺
2026-09-17 17:53:04
19
kidotrose
rosekidot :
mm ndo leo nimeambiwa sitakiwi khaaaa 😂😂😂😂
2026-09-17 14:56:29
10
berthabarick3
Bety :
yaaaaaan Leo mmmmmmh
2026-09-17 17:31:11
0
fightergal_
️ :
mimi toka tarehe 11/9 mpk leo hata salamu hakuna hata sielew
2026-09-17 20:47:32
10
official_aziza550
Aziza michael :
😭😭😭😭sio mahusiano tu Apa ninavyowaambia mam mdog wangu alikua muhimbili Leo tarehe17 dokta kasema tuondoke na mgonjwa wetu akuna tiba kiufupi awezi kupona Yan ni huzuni wallah 💔💔
2026-09-17 19:11:52
5
tinnahjosphe
BRINNY🦋 :
kabisa io ni kweli😥😥😥 mahusiano yang ya Muda mrefu yamekufa leo🙌
2026-09-17 20:19:46
10
joseph.orest
Joseph Orest :
mbona me ndio penzi limekolea huu mwezi akii nampenda mpenzi wangu
2026-09-18 03:19:26
8
farasy41
حصان🐎🖤 :
Kumbe ni kweli eeeh 😫 Allah nipe subra 🥹
2026-09-17 16:10:35
8
juliethpaul13
Julie🦋 :
boraa sinaa hata huyo mpenzi 😂😂
2026-09-17 19:20:26
2
mamly09
Mamly 00 :
twenden taratibu na hiz baridi😁
2026-09-17 17:48:48
0
fatinamhidini8
DAUGHTER OF GOD 💞 :
mimi ndo niliachan na mwanajeshi😂
2026-09-18 18:17:24
1
To see more videos from user @mnajimumkuuafrica, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About