@millardayo_: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema yapo mambo ambayo Tanzania imekuwa ikisemwa kwa muda mrefu na kwamba siyo ya kusingiziwa, bali yana ukweli ndani yake, likiwemo suala la kuwa na mipango mizuri lakini changamoto ikiwa katika utekelezaji. Dkt. Mwigulu amesema Tanzania imekuwa ikisifiwa kwa uwezo mkubwa wa kupanga mipango ya maendeleo, lakini baadhi ya mipango hiyo imekuwa ikiishia kwenye makabati bila kutekelezwa, huku baadhi ya mambo yakitekelezwa kwa dharura. “Mipango itekelezwe kwa wivu mkubwa kwa muda mrefu kama Nchi tumesemwa sana, Tanzania ni wazuri sana wa kupanga na mipango mizuri Tanzania ipo, lakini kilichokuwa kinatokea, tukishapanga tunaweka kwenye kabati, halafu yote tuliyokuwa tunayatekeleza yanakuja kwa dharura,” amesema Dkt. Mwigulu.

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 13:44:45 GMT
23099
987
25
9

Music

Download

Comments

officiallrick
Edu John :
Wanaume tumebaki wawili tu duniani mm na ww unaesoma comment hii
2026-09-17 13:53:41
21
wabongotv1
JULO~KIDD💙✈️ :
kwel kabisa
2026-09-17 13:50:35
2
bayhas_spareparts
Bayhas_spareparts :
Kazi iendelee🔥🔥🔥
2026-09-17 13:51:06
1
stanthedoer
Stanlenard :
inapendeza sana kiongozi akisimama na kusema ukweri siyo kujitetea ii inaleta uaminifu na imani kuwa sasa kunamabadiliko coz wanakiri na kujua udhaifu ulipo
2026-09-18 11:10:54
2
allymwinyi681
sheshe :
freee ino loemba
2026-09-17 13:57:18
0
selemanmasinde
foxboy.elvish :
kumbe mnalijua hilo sasa mmelilichukuliaje
2026-10-01 15:47:48
0
v777_23
Vally_777🌍 :
mipango mibovu ya ubinafsi ambayo sifikirii wananchi
2026-09-18 07:57:16
0
___nanaholic___
___NANAHOLIC___🥂❤️🦋 :
You never know 😂
2026-09-17 15:54:49
1
johnshayo2
johnshayo2 :
next-
2026-09-17 18:26:41
0
niva8627
niva :
leoo iyooooooooooooo
2026-09-18 07:00:42
0
bless13843
@Tunduu13 :
Huwa namuomba Mungu sana uyu Baba awe ata Raisi but kwa nafasi aliyopo now inaumiza sanaa, matumaini yamepotea
2026-09-28 14:43:48
0
mastory123
it's_buse og+ :
but what😅😆
2026-09-17 13:53:02
0
willnea_point
WILLNEA POINT mtumba :
mimi sitambui uongozi wenu
2026-09-24 08:20:02
0
user24024190945116
user24024190945116 :
Mimi nadhani Tanzania tunauzoefu wa kuweka mipango na kuitekeleza vizuri sana labda hapa mheshimiwa Waziri Mkuu kapitiwa tu 🙏🙏
2026-09-18 15:20:27
0
zawadidominagmail
[email protected] :
😂😂😂😂😂😂 uwiiiii
2026-09-18 14:44:15
0
fatna.ally6
Fatna Ally :
mashallah
2026-09-17 17:19:15
0
brightonmakoye
mcolombia miner. :
ukosawa mkuu
2026-09-17 18:40:12
0
masavabenedicto
ezekiel massava🇹🇿 :
utekaj vp
2026-09-17 16:26:36
0
nyakato216
Omugonzibwa :
jamani muniombeeeni guys mwaka umeisha sasa bila kiwanja wala nyumba
2026-09-17 13:55:29
0
nasrmosh
nasrmosh :
❤️❤️
2026-09-17 16:23:57
1
j.santamu.ahelili
J SANTAMU AHELILI :
😂
2026-09-18 11:07:35
0
trida844
tridah :
🥰🥰🥰
2026-09-17 13:56:56
0
___nanaholic___
___NANAHOLIC___🥂❤️🦋 :
😂😂😂😂😂
2026-09-17 15:54:38
0
sidemgalla666gmail.com
sidemgalla :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-18 12:37:30
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About