@norahs_cosmetics: Nimkaa na wanangu nimefunduaaaa wanapitiaa ving kwasababu ya hofu na uwogaaaaaa aiseee km una mtoto wakoo unatamn niongee naee nipoo karibuuu tuzungumzeeeee naee kwa upendooo tuuu watakuaa saw 0653848049 piga kwa maelekzo #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #foryoupage❤️❤️ #viral #kenyantiktok

Norah Temba
Norah Temba
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 13:53:22 GMT
25476
1091
43
103

Music

Download

Comments

datwo.mtemi
Datwo Mtemi :
jaman mwanangu Kila siku ananipakesi zakupigwa na wezie mm nilimkataza asipigane sasa anaogopa kumpigana namwambia mtu akiwa mkorofi akamwambie mwalimu anasema akimwambia mwalimu anaambiwa tu sawa sasa naona kilasiku kesi sasaivi nimemruhisu nayeye apigane tu maana siyo kwamba hawezi anaweza mm tu nilimkataza
2026-09-17 16:37:38
10
lovenessdavid427
Lavie🍭 :
Sijawahi kuwa muoga toka utotoni sijui nilikua na spirit gani jmn
2026-09-17 15:43:57
13
disammy00
Disammy 💕 :
Ngoja nimuoneshe mwanangu hii atajifunza kitu na yeye naamini
2026-09-17 15:29:25
6
petty.lee7
it's- melalin🍓🥰 :
mimiii sipeendiii mtuu aoneee mwananguuu jamaniiii 🥺
2026-09-17 16:05:42
5
royalbaby..tz
Royalbaby…Tz💜 :
Proud of You ssy Tunajifunza
2026-09-17 14:51:59
1
www.keyla68
keyla :
natmn niwe rafk wa mwanang ila mm mkali 😔
2026-09-17 16:23:48
1
conepambakal
cone pamba kal :
nimeumia nafsi jamani mi sipendi mtu aonee mwanangu hapa machozi yananilenga
2026-09-17 15:24:54
3
user2794276847727kimnaah
kim nah ACCESSORIES :
ndo namuita mwanangu hapa aone
2026-09-17 16:18:52
2
user74544061763441
user74544061763441 :
hawa wakina Joshua jamani nawangu kunamtoto anamsumbua mwanangu anaitwa joshua
2026-09-17 16:46:26
2
vanilahizy
vanilahizy :
sahihi kabsa watt weng wanafanyiwa ukatili kwa uoga kwa kutishwa tishwaaa hii safi
2026-09-17 16:15:51
2
ruby_vijora
Ruby vijora👗👜👠 :
Safi tuseme na watoto wetu
2026-09-17 15:36:42
2
emma986196
Emmy :
yaani hapa nimemsogeza mwanangu nimekwambia njoo usikulize
2026-09-17 18:10:01
0
edgamarkokomba
Edga Marko komba :
2026-09-17 17:58:14
0
gracemasoud981
gracemasoud981 :
fundisho zur sana Kwa watoto wetu
2026-09-17 17:49:49
0
daudi.tza
Daudi.tza :
Hatuwezi kupata kipindi cha dk 30 pale tbc1
2026-09-17 17:46:28
0
fadhili.twahiru
Fadhili twahiru :
umelala
2026-09-17 13:57:48
2
edgamarkokomba
Edga Marko komba :
up ewe maua yako dada 🥰🥰🥰🥰
2026-09-17 17:57:01
0
ayshaothman5
Aysha's_ kitchen 🧑‍🍳 :
hata boys wangu uwoga unawatesa nachukia mm
2026-09-17 16:38:57
0
linaheneah
linah :
mwanangu asahishi mdaftari anasema anamuogopa mwalimu nafikilia namna ya kumfikishia mwalimu
2026-09-17 16:51:10
0
mamaire
official-kinyemi🥰 :
saafi my
2026-09-17 17:30:54
0
dee07116
❤️🫰🏾🫴🏾 :
Uoga ni dhambi kweli
2026-09-17 17:34:55
0
hanifa.mbeyu
Hanifa Mbeyu :
walimu wenyewe awasikilzi watoto
2026-09-17 18:24:27
0
victoriamachange
Doricas flower💕💕 :
Ubarikiwe nora
2026-09-17 15:33:31
1
To see more videos from user @norahs_cosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About