Ijumaa ya leo ninamuomba Allah aumiminie moyo wako amani isiyo na kifani, akupe sababu milioni za kutabasamu, na afute kabisa kila athari ya maumivu yako.
Machozi yako ya baadaye yawe ya furaha, shukrani na matumaini mapya.
Namuomba pia maisha yako yachanue kama ua jekundu, na akupambe kwa furaha ambayo umekuwa ukiitamani kila sikut.
Ameen ya Rabb🤲🤲
Uwe na Ijumaa yenye baraka na utulivu moyoni.🥰😍
2026-09-17 21:35:22
31
Shaayy :
team july
2026-09-20 19:37:59
3
ᥫ᭡~نجمه~𑁍ྀི :
October
2026-09-20 07:08:10
2
Shambey og 🌸🦋 :
December 🤭🥲
2026-09-17 19:57:46
11
.☘︎ ݁˖ ١٥٧٤♡ :
tamally ma'ak
2026-09-20 07:51:12
7
Aiem Sagittarius ♐️🦋🔐 :
najah song
2026-09-19 06:48:15
8
🕋بی خدیجہ 🧕 :
Tamally ma'ak
2026-09-18 17:59:10
8
hijabee_qween1 :
ya tabtab🤣wa Dalla🥰
2026-09-18 20:40:02
6
princess Naika :
Pambe yangu ❤️❤️❤️
2026-09-18 19:10:15
0
🎀mini🎀beauty°🫦🦋. :
May❤️🥰
2026-09-19 13:35:52
1
Mrs, Hynas🦋🥰❤ :
june🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-18 21:05:12
1
Deniz 🩵🐬🌊 :
April kalam Eineh 💘🥹🫀
2026-09-20 10:14:19
5
Hayat 🚩˚࿔ :
maxamett iradiya 😭🥰
2026-09-20 10:11:53
4
𝗥𝗶𝗼 ᴛᴍ :
@ya lalai
2026-09-20 10:13:02
1
To see more videos from user @janana_aura, please go to the Tikwm
homepage.