na mama angu akiwa na shida anasema na anairudishia
2026-09-17 15:49:24
26
🍂Chimamy Gee🫧 :
Tenaaa anakwambia popote nipelekeee😂
2026-09-17 17:55:47
8
Camilla 💕🌻 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] eee sai nilimwambia mama sina pesa nataka kujenga juzi nimetumiwa nyumba iko nusu kuisha asante mama[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-17 15:40:03
1
Smesha_actress🦋❤ :
weeeeeeeeeeeee kuna mama angu mm uwiiiiiii atanzaaa kukwambia mm nilivyokuzaaa nakukulea ulinilipa sh ngap??????
2026-09-17 15:18:16
9
Miss merry :
Ata mama angu ananipa nanikimkopesha ananilipa
2026-09-17 15:01:50
21
CEDRIC🌹MOM :
tulikuwa tunaweka kwenye kibubu Mimi na yeye siku tunakuja kuvunja hakuna hata mia 😂😂 Mimi nikiweka mwenzang alikuwa anatoa
2026-09-17 16:06:23
10
Neema Gidion❤️ :
Mimi mam angu nilimpa pesa anishikie siku ya kumdai aka nitoke a ziwe njee et niyaludishe kama ya alivyo kuwa Yani takus saa6 nikishidwa tumeishiana na bado ananidai 😂😂😂😂😂
2026-09-17 17:36:16
4
t@tu :
mimi mwenyewe mama alikuwa ananitunzia ata kama staki kuitumia inaweza kukaa mwaka kwenye beg nampenda mama angu
2026-09-17 15:36:56
7
the real priscah :
nilikua dar hela nikipata natuma kwa mama aweke ikafika had lak 8 kuna siku mdogo ang alanipgia akasema leo tumeshindia mihigo kipande kmoja kimoja hlf usik hakuna ramani nampgia mama simu namuulza mnashda gan nyumbn hapo anasema wapi sawa tu nikamwambia chukua lak1 kweny hela yang ukanunue vyakula ndan akaanza kulia anasema mm bado nina ndoto namajukum mbele nijiahd kutunza hela kwaajir ya maisha ya badae na wadogo zangu daaaaah💔💔💔💔🙌🙌🙌🙌
2026-09-17 18:46:29
1
getrudaalbert :
😂😂sio mama angu mimi 😂ataniambia hizo zangu ulizotumia mbona sijawh kukudai
2026-09-17 16:11:26
4
𝒩𝒶𝓈𝓇𝒶𝒽 𝓘𝓽’𝓼 🤍 :
Mama angu ata ukimpa buku mwisho wa mwezi anakupa 😂🥰
2026-09-17 16:17:27
3
💫🌹Sweet🌹💫💞 :
mimi wangu jaman ndo huwa namkopa na sirudishi mungu muwekee kwaajili yangu😭
2026-09-17 19:13:36
2
fifi girl 🥰🦚🍒 :
mama angu aniridishii Natalia mpka mafua 😁😁😁😁
2026-09-17 17:11:24
1
swizah tz :
nilisha wahi kumpa mama anitunzie pesa ya siku kuu ilipofika siku kuu mama kashaila 🤣🤣🤣🤣🤣 iliniuma sana 2011
2026-09-17 14:32:22
3
ally said :
mtot mzuri xn uyu
2026-09-17 14:33:51
1
häymâñ älly 🔥🥰😛😛 :
TikTok unaweza ku comment kwa sauti
2026-09-17 20:38:33
0
blacque vannillah :
Hata mama angu hachukuagi pesa za akiba yangu
2026-09-17 15:23:15
3
cai cai :
na mama yangu
2026-09-17 14:39:28
0
nc desiner :
hata mama yangu ananipa
2026-09-17 19:19:53
0
Rashida saidi :
hata wa kwangu ananilidushiaga jamani
2026-09-17 19:18:27
0
zaitunibaby :
Mimi kila siku ananiambia nikopeshe mmmmh Ila Harish tuliisabian imefik million Ila kuludisha meyo😅😅😅
2026-09-17 20:08:23
0
Magreth :
mama ni mtu wa maono ya mbali hawez kula kitu bila kuomba
2026-09-17 22:20:59
0
Maha wa moha😍❤️ :
ila xouh mrembo😂
2026-09-17 20:18:14
0
sham :
naomba nimuongez na mama yang kipenz jamn hata umpe kiasi gan lazima akurudishie jamn napendaa sanaa mama yang mung ampe maisha marefu
2026-09-17 22:28:30
0
Kimwana Og🦋 :
Sio Mama Sabrina 😂
2026-09-17 16:10:40
0
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm
homepage.