@magarimaarufu: Review ya Hii gari upande wa Ndani kila mtu alitaka kuiona ili athibitishe kauli ya hizi gari ziko mbili Dunia nzima kwasababu ndani ni zaidi ya Nyumba za watu wengi sana nmeanza na upande wa dereva na Sebule bado chumbani vyooni. Ahsante @mkwawarallyteam_official kwa nafasi hii ya kipendeleo🙏🏽 Review Yote iko Tayari YouTube Magari Maarufu sogeeni mkaitazame huko.

MAGARI MAARUFU
MAGARI MAARUFU
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 14:16:50 GMT
521789
31499
320
1060

Music

Download

Comments

mtuwawatu_02
FIGHTER :
Waulize wakenya Kama wanayo hii kaka
2026-09-17 14:42:48
66
manucho.de.njosh
🚛Emmanuel (njoro)@ tracking🚛 :
254 Tuko na hii kweli[Snicker]
2026-09-20 10:56:17
2
kitwanajuma11gmail.com
Kitwana Finishing :
jezi ya Simba kila sehem ipo 😂😂😂😂
2026-09-17 14:58:24
34
mk.erick85
Mk Erick :
sasa kama ukimfuata mtu chini ya meter 20 inajipiga brake.....vipi gari nyingine iki overtake alafu akaingia mbele yako chini ya hizo meter?
2026-09-17 20:35:09
20
saluhasselkan
saluhasselkan :
cameraman wako bado ana vitu vingi vya kujifunza🤝
2026-09-17 16:01:27
15
nonodad80
nonodad80 :
kwaio foleni ya dar inakuaje
2026-09-17 19:56:29
4
mselaruna
Runaboy Runa :
wakenya walete nganya zao sasa
2026-09-17 16:28:54
3
geniusoctor
Master MINDSET 🧠 :
nauli yake
2026-09-17 19:57:09
0
kironge.amri
@Kironge Amri :
gari inayo kimbia ni abood uja kutana nayo wew
2026-09-17 15:53:27
1
aluminiummaster255
aluminium doctor :
Kwahiyo tukubaliane hatuwezi pita magari ya mbele itajifunga brake
2026-09-18 06:41:10
0
mzeeabdullatifu
mzeeabdullatifu :
sasa foleni ya dar inakuwaje
2026-09-17 15:32:54
2
maeradriller
maera1 :
fundi atatoka wapi ikiharibika
2026-09-18 05:31:50
2
gloryluxe02
Official g🌹🦋🦋 :
Nikazani gar la simba 😂😂 kumbe
2026-09-18 14:02:30
1
william.chacha86
Billy Chacha :
kwani hili gari lipo nchi gani mbn sielewi zuri balaaa ni hapa hapa Tz au
2026-09-18 05:23:23
1
juniorbayano2
Frank Mulwa :
Kitu ya kwanza Tanzania iko nayo ya maana
2026-09-18 06:29:28
1
edwanga1
Edward ngailo :
ilimlad kuna jezi ya simba🙌🙌🙌
2026-09-17 17:13:39
1
suzie44556
suzie :
hii gari gnii hiii jamani mko wpiiii😂😂😂😂
2026-09-19 10:56:02
1
user65280495937470
unpredictable :
hii gari itatumia barabara ipi ambayo itapata huo umbali?
2026-09-20 07:56:12
1
nyota.cleaver
Nyota Cleaver :
Sasa bodaboda na daladala wakikuchomekea itajitia brake ad uchanganikiwe
2026-09-17 14:48:40
5
userwasabi
Wasabi :
So how do you overtake mzee
2026-09-17 15:58:08
1
catoto74
catoto :
2026-09-18 08:23:06
1
godi818
mbasha boy :
sasa akitaka kuovatek anaovatekije akati gari ikisogeleana nanyingine inajishika brek
2026-09-17 16:56:32
1
josephjasti
joseph jasti :
yawap iyo gali
2026-09-17 14:25:02
0
meshak.albanus
Meshak Albanus :
Gali ya Ghana kubwa then maji ya miatatu300 ndan🤣🤣🤣🤣💪💪
2026-09-30 11:48:29
0
niah_tz8
Niah_tz :
Sas HP600 hkun basi inay shika hapo
2026-09-17 14:32:27
0
To see more videos from user @magarimaarufu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About