@officially.fine.b: Kwenye kipindi cha phone book cha Tve Ibraah alipewa challange ya kumpigia rafiki yake anayemuamini na amprank kuwa amepata dili la kusainiwa Wcb . Ibraah alimpigia simu rafiki yake ambaye anamuamini sana lakini rafiki yake aliposikia habari hizo alimtaka Ibraah awe makini na mikataba atakayo pewa lakini kubwa zaidi akamuomba Ibraah ajipambanie mwenyewe achane na habari za Wcb kwasababu anaamini mpaka sasa Ibraah ni mkubwa hivyo aachane na mambo ya Wcb. ''Inawezekana lakini inategemea mkataba wako utakuwa ni wa aina gani lakini kwaulipo wewe sasa unaweza kufanya kazi zako kama msanii tegemezi ''Amesema -Rafiki yake Ibraah
OFFICIALLY FINE BOE TRENDING
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 14:32:06 GMT
Music
Download
Comments
King.salopa002 :
ushauri mzuri Sanaa mzuri kuufuata
2026-09-17 17:16:29
33
HappyClassic Makeup Sumbawanga :
Ss ibrah naww kulikuwa kunahaja yakurecord zi mambo🥺
2026-10-29 13:02:23
7
Babake Imran :
usiende wasafi bro utarudi nyuma
2026-10-21 15:56:20
10
Joyce kidoti :
ibrah Linda brand yako unaweza mbn
2026-10-29 07:46:39
8
💤Njoroge💤 wamboi 💤 :
Sasa mtoto wa konde ajiwezi peke yake
2026-09-18 07:43:29
11
aimanhemedi :
Page uchwara jamaaa hajakataza lkn kampa ushauri open
Title sas
2026-09-18 12:11:03
4
Rashid Nyanje :
wasafi Utaibiwa nyota usiende
2026-10-22 16:19:51
3
Alut Aluta :
ameisha
2026-10-31 17:00:26
0
Robin de professional :
marafiki WA kweli kama hawa amebaki mmoja tu..WA Ibra
2026-09-20 03:36:47
4
Bravo Fanesti :
usiende huko
2026-10-20 10:31:06
3
CHAD GANG 👑✅️ :
usiendee broo utapota pamban mwenyew
2026-09-25 10:30:59
2
ibrah :
wajina hapo unafeli usiende kabisaa
2026-09-27 09:21:23
2
prìsõñēr mtûküfū :
uyo rafiki wa faida sana
2026-10-31 07:59:06
1
❤❤shykunee :
uxiendeeeeeee ibraaah
2026-10-23 06:27:44
1
SHAIMA 💦💯🫂🙌🤲❤️ :
𝗺𝗺 𝘂𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿 𝗪𝗮𝗻𝗴 𝗻𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘁𝘂 𝘂𝘁𝗮𝗽𝗮𝘁 𝗯𝗮𝗵𝗮𝘁 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗺𝗮𝗺𝗯 𝗺𝗼𝗷 𝗻𝗶𝗮𝗺𝗶𝗻 𝗺𝗺 🥰
2026-10-31 08:58:15
0
delison @@ :
jambo la faida kaka awe makin s yye tu na wanaomsikia
2026-10-31 08:38:11
0
toptaun miusic stor :
ushaur nzur sana
2026-09-18 07:13:34
0
Chart chaser fX :
2026-11-01 04:36:25
1
Emmanuel :
yani ni bola asiingie akiingia ameisha
2026-09-18 16:18:04
1
Enjoy Class :
my jitegemee
2026-10-24 23:25:49
0
ezekiel ashel :
kaka nenda utakua namba 1
2026-10-29 07:23:23
0
Jonsonjr furniture :
Ila Diamond bana bc tu huyu jamaa
2026-10-22 17:38:47
0
MÕ2HÜSSÀÏN RÀMÀZÆN :
fact
2026-10-31 02:53:09
0
delison @@ :
kuna aja ya kurekod sababu so watu wote mikataba inawausu weng
2026-10-31 08:37:46
0
J4 Rey's :
apo kuna mambo aya ✌🏾🤣
2026-10-24 03:48:05
1
To see more videos from user @officially.fine.b, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.