km aliruhisu mtt kuolewa awe na furaha hata akiachana na mshangazi mashangazi hauwezi kumuambia mtt wake atapoteza furaha ya mtt wake yeye aachane nae tu
2026-09-18 18:48:25
1
ALBERT KANGWANDA COD 22 :
uyo achane na wote Awe na ww tu
2026-09-17 18:22:34
1
Fahin Issa :
mtihani
2026-09-17 16:46:33
0
Bin salum :
bora awe mkweli kwa wote ndio atakuwa huru ndipo atajuwa wapi panamapenzi ya kweli
2026-09-18 09:32:07
2
aballflavour :
Hawez kumwambia kitu apo
2026-09-19 08:45:11
1
Zulekha :
Aanze apo apoo
2026-09-18 03:49:13
1
Beautiful 😍❤️❤️ :
Akome na tamaa zake yaani nigundue unatembea na mama yangu kisha kinuelewe imeshuka imepanda aaah Mungu ampe tu kinachomstahili
2026-09-17 15:23:41
2
emmy5479🦋🦋 :
subhanallah jmn ni ktu gn hich Allah atunusuru
2026-09-17 15:15:02
0
Fatmah❤️🦋 :
Apo mwanz nmeshtuk nkasema bora niskilize tuh
2026-09-17 20:23:42
1
rojabest :
Mwambi anitafute Kwa ushauri jambo dogo sana Hilo.
2026-09-22 15:39:00
1
rukaiyya omar abdallah12345678 :
mtihan jmniii kwa kweliii huyo mkwe pya nae ndie allah amfanyie wps
2026-09-17 16:29:40
0
hawaaaa :
mwenyez mungu anampenda mtu mkweli cku zote ukwel humuweka mtu huru bora amwambie ukwel
2026-09-28 05:25:41
0
0mar bare :
story time
2026-09-17 15:19:18
0
Zulekha :
Aanze apo alipoishia kama hawajazaa aowe
2026-09-18 03:49:32
1
fatoomelegance :
asiendelee kufanya aachane nae kisha amrecord akiwa anamtishia ili amwambie mkewe nilikuwa nae sbb alinitisha🤣kisha amuombe msamaha Mungu na mkewe pia bc
2026-09-18 11:04:31
1
Army Ak47 :
jamaa kamua kula kuku na mayai yake daah
2026-09-17 17:10:11
0
mehra home bakery :
amwambiy mkewe kwanzaaa
2026-09-22 15:27:09
0
dnassir🌏🌏 :
vzr aende soba akapate ushaur
2026-09-17 15:08:46
0
To see more videos from user @muaydi3655678, please go to the Tikwm
homepage.